Prof Koboko
JF-Expert Member
- Aug 15, 2020
- 350
- 2,550
Hilo ni zoezi EndelevuMkuu, mbona unajihangaisha kutisha watu na tangazo lako la mwezi uliopita? Acha upumbavu aisee, hatuwezi kuruhusu utawala wa kidikteta kutamalaki nchini. LAZIMA TUANDAMANE
Hizi ***** ***** zote fanyeni. Sisi raia tumeshamaliza kazi. Tuko na JPM hadi milele yoteAmani iwe kwenu wajumbe!
Nadondosha andiko langu hapa kuushauri upinzani katika nchi hii usikubali kabisa upuuzi wa watu wachache kuamua kujipa mamlaka kwa kutumia nguvu ili kujiamulia kuifanyia nchi watakavyo. Wanataka wapange bajeti ya nchi watakavyo.
Serikali ya CCM imekua na rekodi ya kuiba na kufisadi mali za umma na upinzani pekee ndiyo uliokua jicho pekee la kumulika uchafu huo.Sasa CCM wametumia vibaya mamlaka ya kidola kuwapora upinzani ushindi wao ili waendelee waliyokuwa wakiyafanya huko nyuma.
Duniani kote hakuna mfumo wa kiutawala uliowahi kubadilishwa bila jasho na machozi ya watu. CCM wanasubiri machozi yaanze kudondoka ndio wajiondoe kwenye mfumo, CCM wanasubiri jasho liwatokee wachache ndipo wajiondoe kwenye mfumo. Huo ndio wakati wenyewe wa kufanya maamuzi magumu kubadili mfumo unaotumiwa Vibaya na ccm.
Kama Zitto Kabwe ametuhumu with Evidence kwamba TIS ndio waliohusika kuchakachua uchaguzi huu,wanafanya haya kwa faida ya nani? DSO anaandika matokeo kama nani? Yeye ni afisa wa tume au nani?
Ni wakati wa kuuondoa huu upuuzi unaoendekezwa na watu wachache. Hii nchi ni yetu sote, Mwalimu alituletea mfumo wa vyama vingi tuwe huru kuchagua. Haturuhusu urithi huu kunajisiwa na washamba wachache wenye uchu wa madaraka. Tunahitaji mfumo mpya wa kiutawala whether CCM wakubali au wakatae.
Hao walio comment wanatuzidi sisi watanzania mil 12.5 tuliomchagua Dkt Magufuli?Ni.kweli lazima kujitoa mhanga vinginevyo hakuna kitachobadilika.
Mkitaka kujua watu wana hasira na machungu, someni comments baada ya Hussein Bashe kuandika tweet ya kumsifia Magufuli kwa eti kushinda uchaguzi.
Comments zimeishia kumfedhehesha yeye mwenyewe na Magu kutokana na lugha(abusive language) na maneno mengine makali watu waliotumia kumjibu Bashe.
Ndio tukutane j3 kwenye maandamanoAmani iwe kwenu wajumbe!
Nadondosha andiko langu hapa kuushauri upinzani katika nchi hii usikubali kabisa upuuzi wa watu wachache kuamua kujipa mamlaka kwa kutumia nguvu ili kujiamulia kuifanyia nchi watakavyo. Wanataka wapange bajeti ya nchi watakavyo.
Serikali ya CCM imekua na rekodi ya kuiba na kufisadi mali za umma na upinzani pekee ndiyo uliokua jicho pekee la kumulika uchafu huo.Sasa CCM wametumia vibaya mamlaka ya kidola kuwapora upinzani ushindi wao ili waendelee waliyokuwa wakiyafanya huko nyuma.
Duniani kote hakuna mfumo wa kiutawala uliowahi kubadilishwa bila jasho na machozi ya watu. CCM wanasubiri machozi yaanze kudondoka ndio wajiondoe kwenye mfumo, CCM wanasubiri jasho liwatokee wachache ndipo wajiondoe kwenye mfumo. Huo ndio wakati wenyewe wa kufanya maamuzi magumu kubadili mfumo unaotumiwa Vibaya na ccm.
Kama Zitto Kabwe ametuhumu with Evidence kwamba TIS ndio waliohusika kuchakachua uchaguzi huu,wanafanya haya kwa faida ya nani? DSO anaandika matokeo kama nani? Yeye ni afisa wa tume au nani?
Ni wakati wa kuuondoa huu upuuzi unaoendekezwa na watu wachache. Hii nchi ni yetu sote, Mwalimu alituletea mfumo wa vyama vingi tuwe huru kuchagua. Haturuhusu urithi huu kunajisiwa na washamba wachache wenye uchu wa madaraka. Tunahitaji mfumo mpya wa kiutawala whether CCM wakubali au wakatae.
Wanajeshi wazee 48 and above ndiyo wanazi wa ccm.Karibun Tusafishe Jiji kwa pamojaView attachment 1616872
Maandamano ni ya kutaka uchaguzi urudiwe siyo kupindua serikaliKabla haujashiriki maandamano jiulize;
1. Je, lengo lako ni kupindua serikali iliyoko madarakani? Kama ndio, je uko tayari kupambana na vyombo vilivyowekwa kisheria kuilinda serikali isipinduliwe? Je uko tayari kukabiliana na kesi ya uhaini?
2. Nini unategemea kitatokea baada ya hayo maandamano? Kama ni uchaguzi mpya, je nani ataitisha huo uchaguzi na kwa mujibu wa sheria ipi? Kama ni tume mpya, je nani ataiunda na kwa kutumia sheria gani?
3. Je, una uhakika watu wote wanaokuja kuandamana wana lengo lilelile unalofikiria wewe kichwani? Hakuna mtu anayetaka kutumia maandamano hayo kufanya uhalifu? Iwapo watakuwepo wahalifu, je uko tayari kuwa sehemu ya watakaochukuliwa hatua ya uhalifu?
Uchaguzi urudiwe kwa pesa za Amsterdam sio?. Pelekeni uchu wenu wa madaraka huko kwa mabwana zenu. Tunu ya amani na utulivu tutailinda kwa gharama yoyote.Maandamano ni ya kutaka uchaguzi urudiwe siyo kupindua serikali
Acha watu waandamane ,kwani inakusumbua nini.
Amani iwe kwenu wajumbe!
Nadondosha andiko langu hapa kuushauri upinzani katika nchi hii usikubali kabisa upuuzi wa watu wachache kuamua kujipa mamlaka kwa kutumia nguvu ili kujiamulia kuifanyia nchi watakavyo. Wanataka wapange bajeti ya nchi watakavyo.
Serikali ya CCM imekua na rekodi ya kuiba na kufisadi mali za umma na upinzani pekee ndiyo uliokua jicho pekee la kumulika uchafu huo.Sasa CCM wametumia vibaya mamlaka ya kidola kuwapora upinzani ushindi wao ili waendelee waliyokuwa wakiyafanya huko nyuma.
Duniani kote hakuna mfumo wa kiutawala uliowahi kubadilishwa bila jasho na machozi ya watu. CCM wanasubiri machozi yaanze kudondoka ndio wajiondoe kwenye mfumo, CCM wanasubiri jasho liwatokee wachache ndipo wajiondoe kwenye mfumo. Huo ndio wakati wenyewe wa kufanya maamuzi magumu kubadili mfumo unaotumiwa Vibaya na ccm.
Kama Zitto Kabwe ametuhumu with Evidence kwamba TIS ndio waliohusika kuchakachua uchaguzi huu,wanafanya haya kwa faida ya nani? DSO anaandika matokeo kama nani? Yeye ni afisa wa tume au nani?
Ni wakati wa kuuondoa huu upuuzi unaoendekezwa na watu wachache. Hii nchi ni yetu sote, Mwalimu alituletea mfumo wa vyama vingi tuwe huru kuchagua. Haturuhusu urithi huu kunajisiwa na washamba wachache wenye uchu wa madaraka. Tunahitaji mfumo mpya wa kiutawala whether CCM wakubali au wakatae.
Mbona inasemekana sio JK bali ni hayati?Akina JK hawakuwaza vema wakati wa kupasiana kijiti.
JK aliangalia factor moja tu ya ukali lakini hakuenda mbali kujiridhisha na utu wa mrithi wake.
JK ametuletea shida watanzania.
Sasa hiyo gharama utakayotumia kulinda tunu itumieni kutenda haki.Uchaguzi urudiwe kwa pesa za Amsterdam sio?. Pelekeni uchu wenu wa madaraka huko kwa mabwana zenu. Tunu ya amani na utulivu tutailinda kwa gharama yoyote.