Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
- Thread starter
- #21
binafsi nitoe kongole nyingi sana kwa wapinzani wenye maono kwa uamuzi wao wa hekima na busara kuunganisha nguvu zaidi kwa chama Tawala, kwa hakika wamelamba dime...Mgombea anayeota vyama vya upinzani visisimamishe wagombea, anayeota chama chake kitoe fomu Moja yake pekee, ni mgombea dhaifu na duni, asiyejuamini.
Ndio maana nasema, chama Cha mambuzi kitakuja na mgombea atakayeweza kushindana na upinzani Imara.
Bado hesabu za kisiasa zinasema HATOGOMBEA!!
wameepusha kupoteza rasilimali zao za hali na mali kugharamia wasicho na uwezo nacho kukipata...
wenye majivuno na kiburi ambao hata wao kwa wao hawaelewani na wala hawana uhakika hata mgombea urais wao ni nani, wanasubiri wakati muafaka ili wagawanyike na kupasuana vizuri kisha waje kulaumu wengine 🐒