Pre GE2025 Upinzani nchini hauna ngome wala uhakika wa kushinda hata kiti kimoja kwenye uchaguzi Serikali za Mitaa wala uchaguzi mkuu baadae mwaka ujao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mgombea anayeota vyama vya upinzani visisimamishe wagombea, anayeota chama chake kitoe fomu Moja yake pekee, ni mgombea dhaifu na duni, asiyejuamini.

Ndio maana nasema, chama Cha mambuzi kitakuja na mgombea atakayeweza kushindana na upinzani Imara.

Bado hesabu za kisiasa zinasema HATOGOMBEA!!
binafsi nitoe kongole nyingi sana kwa wapinzani wenye maono kwa uamuzi wao wa hekima na busara kuunganisha nguvu zaidi kwa chama Tawala, kwa hakika wamelamba dime...

wameepusha kupoteza rasilimali zao za hali na mali kugharamia wasicho na uwezo nacho kukipata...

wenye majivuno na kiburi ambao hata wao kwa wao hawaelewani na wala hawana uhakika hata mgombea urais wao ni nani, wanasubiri wakati muafaka ili wagawanyike na kupasuana vizuri kisha waje kulaumu wengine 🐒
 
Acha kupiga mayowe muda utaongea wenyewe!
Yale mauzauza ya kishetani mnayofanya wakati wa kura ndio yanawapa jeuri lakini mwisho wenu utafika tu.
binafsi nina hoja na siwez kubaki nayo moyoni Lazima nishirikishe wanaFamilia muhimu wa JF kuhusu maoni na mtazamo wangu kitaalamu kuhusu hoja maridhawa mezani 🐒

ikiwa una subiri muda uongee si, ukae kimya tu basi gentleman 🐒
 
Ni bayana,
Upinzani nchini mpaka sasa hawana ngome wala uhakika wa mahali au eneo la uchaguzi ambalo wanaweza kishinda hata kiti kimoja tu kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa baadae mwaka huu, na ule wa diwani au mbunge kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka ujao...

Kwenye nafasi ya Urais upinzani ni wanyonge na wadhaifu mno, hakuna haja ya kueleza sana mambo ambayo ni wazi yanaonekana mchana kweupe...

Hata hivyo,
Inafurahisha sana kuona kwamba, wapinzani wote katika ujumla , umoja na migawanyiko yao, katika hili la uchaguzi mkuu ujao, kwenye nafasi ya Rais watamuunga mkono Dr. Samia Suluhu Hassan endapo ataridhia ombi lao na matarajio ya waTanzania walio wengi, kwamba aridhie kugombea urais tena Urais akamilishe ngwe ya pili ya uongozi wake, kwani Taifa katika ujumla, umoja na mshikamano wake, wananchi walio wengi zaidi wanaridhishwa na kasi yake ya maendeleo, mtindo wa uongzi wake mahiri na madhubuti, mipango mikakati yake makini na muhimu sana yenye maslahi mapana ya waTanzania wote..

Na kwa hali ya kisiasa ilivyo kwa sasa, hakuna hatari au kitisho kwa mtaa, kata au jimbo lolote la uchaguzi linaloweza kuangukia mikononi mwa upinzani dhaifu sana unaoiunga mkono serikali sikivu ya CCM...

Huu ni uzalendo wa kiwango cha juu sana kwa uhai na ustawi wa demokrasia nchini....

Unadhani,
Ni kwanini hali hii ya kutokuwa na uhakika wa ngome wala uhakika wa kushinda uchaguzi hata kiti kimoja, imewazonga sana wapinzani hasa wakati huu muhimu tunapoelekea kukamilika kwa maandalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu baadae mwakani?🐒
Hukuwahi kuonyesha dalili za kuwa hata na akili kidogo.
 
Mbona kama vile ccm wanataabika na uchaguzi kuliko wapinzani

Ccm wanaogopa uchaguzi kuliko wapinzani,

Wanaogopa kuleta tume huru ya uchaguzi, wameleta Sheria mbovu za uchaguzi ili iwape mianya ya wizi wa kura, nawazi anapewa mamlaka ya kutunga kanuni zitakazo wanyima haki wapinzani,

Kila siku tunamwona mwenyekiti, katibu na mwenezi wakiwa kwenye kampeni wakibembeleza kura kabla ya wakati rasimi,
Hii ni dalili ya kunusa kutokukubalika

Tumeona Ccm wakigawa t-shirt za kampeni kabla ya muda
Kuna pikipiki 700 nchi nzima zimeandikwa samia2025 huu ni uoga wa kushindwa mapema

Kwa mzalendo Nafikiri uchaguzi uwe free and fair tu tukiwa na matokeo 60% opposition na 40 ccm itakuwa safi kwa ustawi na maendeleo ya nchi
 
Hivi wewe hukuwahi kumsikia Nape akitoa Siri nzito ya CCM??

Akisema wazi kuwa CCM haitegemei kura tunazopiga wananchi Kwenye maboksi ya kura, Bali wao watendaji wa Tume ya uchaguzi, wamtangaze mgombea wa CCM kuwa ndiye aliyeshinda uchaguzi huo!😎
 
nadhani unajaribu kuthibitisha tu kuna chama kilichojizatiti kushinda uchaguzi, kushika dollar, kuunda serikali na kuongoza nchi..🐒

ambao wameamua kuiunga mkono serikali sikivu ya CCM hata katika uchaguzi mkuu ujao, wako kimya tuli wametulia kama barafu 🐒

wavurugaji wasio na uelekeo wao wanaibukaga mwishoni baada kwanza ya kuraruana wenyewe kwa wenyewe 🐒

my friend,
ushindi wa kishindo ni kujipanga mapema sana 🐒
 
Ni bayana,
Upinzani nchini mpaka sasa hawana ngome wala uhakika wa mahali au eneo la uchaguzi ambalo wanaweza kishinda hata kiti kimoja tu kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa baadae mwaka huu, na ule wa diwani au mbunge kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka ujao...

Kwenye nafasi ya Urais upinzani ni wanyonge na wadhaifu mno, hakuna haja ya kueleza sana mambo ambayo ni wazi yanaonekana mchana kweupe...

Hata hivyo,
Inafurahisha sana kuona kwamba, wapinzani wote katika ujumla , umoja na migawanyiko yao, katika hili la uchaguzi mkuu ujao, kwenye nafasi ya Rais watamuunga mkono Dr. Samia Suluhu Hassan endapo ataridhia ombi lao na matarajio ya waTanzania walio wengi, kwamba aridhie kugombea urais tena Urais akamilishe ngwe ya pili ya uongozi wake, kwani Taifa katika ujumla, umoja na mshikamano wake, wananchi walio wengi zaidi wanaridhishwa na kasi yake ya maendeleo, mtindo wa uongzi wake mahiri na madhubuti, mipango mikakati yake makini na muhimu sana yenye maslahi mapana ya waTanzania wote..

Na kwa hali ya kisiasa ilivyo kwa sasa, hakuna hatari au kitisho kwa mtaa, kata au jimbo lolote la uchaguzi linaloweza kuangukia mikononi mwa upinzani dhaifu sana unaoiunga mkono serikali sikivu ya CCM...

Huu ni uzalendo wa kiwango cha juu sana kwa uhai na ustawi wa demokrasia nchini....

Unadhani,
Ni kwanini hali hii ya kutokuwa na uhakika wa ngome wala uhakika wa kushinda uchaguzi hata kiti kimoja, imewazonga sana wapinzani hasa wakati huu muhimu tunapoelekea kukamilika kwa maandalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu baadae mwakani?🐒
kwa akili yako kabisa ukiondoa unafiki, kuna uchaguzi nchi hii?
uchaguzi wa maagizo
 
Hivi wewe hukuwahi kumsikia Nape akitoa Siri nzito ya CCM??

Akisema wazi kuwa CCM haitegemei kura tunazopiga wananchi Kwenye maboksi ya kura, Bali wao watendaji wa Tume ya uchaguzi, wamtangaze mgombea wa CCM kuwa ndiye aliyeshinda uchaguzi huo!😎
ni wawapi huyo kwani?

Tz chaguzi zinaendeshwa kwa kujibu wa sheria na katiba, na sio kwa matakwa, maoni au mtazamo wa mtu fulani mahali Fulani🐒

huenda mtu huyo alikua anatoa maoni na mtazamo wake, kama ambavyo wewe pia ulivyo toa maoni na mtazamo wako kwenye hoja yangu.

ikiwa kuna mtu anakubaliana nawe au kutokubaliana nawe ni uamuzi wake kulingana na imani aliyonayo kwako...

hata hivyo Imani potofu za kishirikina zimechelewesha mambo mengine sana muhimu 🐒

Tumuamini Mungu katika Yote ndrugu zango🐒
 
kwa akili yako kabisa ukiondoa unafiki, kuna uchaguzi nchi hii?
uchaguzi wa maagizo
ahaneni na kutegemea miujiza, ushirikina na uchawi kwenye uchaguzi ndrugu zango 🐒

elections is a very long process.and for sure it is very expensive exercise...

there is no way wengine wako field wanafanya engagements na consultations na wananchi,

then wew uibuke mwishoni ukiamini ushirikina wako eti ushinde uchaguzi, thubutu 🤣
 
Hukuwahi kuonyesha dalili za kuwa hata na akili kidogo.
muerevu umefikia kiwango cha mwisho cha mawazo mapya na fikra mbadala dhidi ya hoja nzito mezani dah 🐒

sa itakuaje 🤣
 
Wewe mwenyewe hapo ulipo ni mwana Chadema kindaki ndaki na ukumbuke ushindi wa upinzani unaanza na wewe mpaka hapo hatuwezi kuchagua matozo na marushwa tuna yatupa mahujumu uchumi yote yatokanayo na CCM
ndio ile chama ya wale wajamaa wa mihemko, ghadhabu na waporomosha matusi sio?🐒

wale si huwa wanasubiri mwishoni kabisa, mpka jamaa wa chama Tawala wakikatwa majina yao ndio sasa waokoteze wagombea, right? 🐒

kwamba niwepo humo dah 🤣
 
Back
Top Bottom