Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Palipo na wengi msuguano lazima utatokea tu.Utawala wa dikteta msuguano au upinzani utatoka wapi wakati msemaji na mtendaji ni mmoja?
Na wapinzani fake vipi?Nusu ya wabunge wa ccm wameingia bungeni kwa maagizo ya rais kupitia madaraka yanayotumika vibaya. 30% walishinda kwa kura chache mno, na 20% tu ndio wameshinda kihalali. Unapokuwa na bunge ambalo zaidi ya nusu wako kwa maagizo ya mtu, usitegemee hoja zenye mashiko, wala msimamo madhubuti. Hilo bunge sasa ndio limekuwa kibogoyo rasmi na halina ladha kwa wananchi wengi labda kwa wanaccm tu.
The Real Bunge Fake Scenario?Na wapinzani fake vipi?
Halima Mdee and Co!
Na wapinzani fake vipi?
Halima Mdee and Co!
Si ndiyo maagizo hayo hayo !Na wapinzani fake vipi?
Halima Mdee and Co!
PERFECT RUBBER STAMP!The Real Bunge Fake Scenario?
Perfect kwa RUBBER STAMP.
Limepoteza hata uhalali wa wananchi kukufuatilia vikao vyake.Nusu ya wabunge wa ccm wameingia bungeni kwa maagizo ya rais kupitia madaraka yanayotumika vibaya. 30% walishinda kwa kura chache mno, na 20% tu ndio wameshinda kihalali. Unapokuwa na bunge ambalo zaidi ya nusu wako kwa maagizo ya mtu, usitegemee hoja zenye mashiko, wala msimamo madhubuti. Hilo bunge sasa ndio limekuwa kibogoyo rasmi na halina ladha kwa wananchi wengi labda kwa wanaccm tu.
WazandikiKizazi kile cha enzi za G55 kilishaondoka hawa tulionao ni kizazi cha watu waoga,wanafiki,wachumia tumbo na wabinafsi.
ACHA WAONE ILI BAADA YA HAPA TUJENGE KUHESHIMIANA .....TULIPIGA KURA ZA MAONI IKAONEKANA NI BUSARA KUWA NA VYAMA VINGI .....Tumefika mahali sasa CCM tuongoze nchi bila figisu.
Si tulishinda uchaguzi, shehmu nyingine tena bila kupingwa.
Tuna Bunge sasa CCM ndio tupo wengi Bungeni toka kuanza siasa za vyama vingi.
Lakini sasa tujihadhari mambo mawili au matatu.
Maoni ya wananchi kuhusiana kero hayategemei chama.
Vyama lengo lake kuu ni kushika tu madaraka na kutawaa dola.
Maoni ya wananchi juu ya kero zao yanabaki pale pale.
Serikali ikiboronga iwepo CCM au isiwepo watu wata sema tu.
Tupende tusipende.
Nako Bungeni suala la kusuguana kati ya serikali na wabunge ni a matter of time.
Ile ndiyoooooo.... iliyokuwepo kabla ya kuwaondoa wapinzani Bungeni kwa kura sasa itaonekana haina maana sana.
Party caucus sasa ni laima itakosa maana, caucus ya nini wakati Bunge limetwaliwa na chama kimoja.
Si ajabu kutokea wabunge ndani ya CCM Bungeni watakao itoa jasho serikali, kwa hoja zenye mashiko.
Tunalikumbuka lile kundi la Njelu Kasaka, G55.
Hivyo basi its not rest easy!
Serikai ijikite kutatua matatizo ya wananchi.
upinzani hautakuwepo ila watapigana majungu sana.Tumefika mahali sasa CCM tuongoze nchi bila figisu.
Si tulishinda uchaguzi, shehmu nyingine tena bila kupingwa.
Tuna Bunge sasa CCM ndio tupo wengi Bungeni toka kuanza siasa za vyama vingi.
Lakini sasa tujihadhari mambo mawili au matatu.
Maoni ya wananchi kuhusiana kero hayategemei chama.
Vyama lengo lake kuu ni kushika tu madaraka na kutawaa dola.
Maoni ya wananchi juu ya kero zao yanabaki pale pale.
Serikali ikiboronga iwepo CCM au isiwepo watu wata sema tu.
Tupende tusipende.
Nako Bungeni suala la kusuguana kati ya serikali na wabunge ni a matter of time.
Ile ndiyoooooo.... iliyokuwepo kabla ya kuwaondoa wapinzani Bungeni kwa kura sasa itaonekana haina maana sana.
Party caucus sasa ni laima itakosa maana, caucus ya nini wakati Bunge limetwaliwa na chama kimoja.
Si ajabu kutokea wabunge ndani ya CCM Bungeni watakao itoa jasho serikali, kwa hoja zenye mashiko.
Tunalikumbuka lile kundi la Njelu Kasaka, G55.
Hivyo basi its not rest easy!
Serikai ijikite kutatua matatizo ya wananchi.
Sahihisho, wapinzani hawakuondolewa na wananchi bali na dola.
Tulioporwa haki ya maamuzi kwenye sanduku la kura huku mtaani hatuna mpango wa ushirikiano wa wateule wa dola.
Waambie tu wafanye maamuzi kama kamati ya maCCM, tumejifunza mengi kutokana na ubazazi wa MACCM.
Sasa mkakati wetu unaondelea tayari unatupa majibu sahihi.
Anashitajiwa Magufuli na mwendesha mashitaka wa ICC yeye Magu na genge lake lote.vp kesi yenu icc inaendeleaje?
Anashitajiwa Magufuli na mwendesha mashitaka wa ICC yeye Magu na genge lake lote.
CHADEMA haina fursa ya kushtaki jifunze uelewe kenge wee.
Kenge ni wewe kwenye msafara wa mamba. Muda utaongea.kiongozi gan wa afrika mpaka sasa alishatiwa hatiani na icc? na kesi ngap mpaka sasa ziko submited tukianza east africa tu ujue nan kenge