Upinzani si Uadui: Julius Malema, Raha siyo Raha?

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Kwenye turntable DJ ni Julius Malema akiwarusha wafuasi wake wa EFF:

Kwetu Sirro akisikia Chadema wana shughuli, tegemea kuwaona Kingai na Msemwa wakiwa na DR mkononi kutokea kusikojulikana.

Mvua ipi inyeshe kwetu kwenye mazingira haya?

Jifunzeni ustaarabu. Upinzani si uadui.

Siyo siri mnaichumia nchi laana zisizoihusu.
 
Kwenye turntable DJ ni Julius Malema akiwarusha wafuasi wake wa EFF:

View attachment 2017974

Kwetu Sirro akisikia Chadema wana shughuli yao, tegemea kuwaona Kingai na Msemwa wakiwa na DR mkononi kutokea kusikojulikana.

King'aa &co akikuwa ataacha kuichukulia siasa ni uadui, hivyo hawatakuwa wanatembe tena na DR kwa ajili ya wapinzani🤔
 
Tatizo wala si DR kumbuka yao ni hata ni ya kutokea kusikojulikana
 
Kwenye turntable DJ ni Julius Malema akiwarusha wafuasi wake wa EFF:

View attachment 2017974

Kwetu Sirro akisikia Chadema wana shughuli yao, tegemea kuwaona Kingai na Msemwa wakiwa na DR mkononi kutokea kusikojulikana.

Mvua ipi inyeshe kwetu kwenye mazingira haya?

Jifunzeni ustaarabu. Upinzani si uadui.

Siyo siri mnaichumia nchi laana zisizoihusu.
Upo sahihi na hili limepelea watu kukosa mapenzi na mapolis
 
Tupiganie nchi ya upendo kama SA. Siri ya nchi zenye furaha kama hizi ni kuwa zimewahi kushikwa na serikali kutokea upinzani mizizi yote ikafumuliwa.

Malawi, Kenya na Zambia ni mfano wa nchi hizo.
 
Hakika kwetu sisi tumebakia kulialia sana ila ipo siku itatimia na ccm itaondoka tu
 
hiyo namba 4. ndio laana yenyewe.

Nchi kukaa sawa ni hadi mizizi yote ya fitina iliyowekwa na binadamu wa mlengo mmoja itakapong'olewa na kusukwa upya kwa haki.

Binadamu ni mbinafsi. Unilaterally ni ya zaidi ya Majaliwa. Halipo jipya.

Nchi kukaa sawa (kutokea) fairly ni hadi upinzani utakaposhika madaraka.

Compare and contrast:

1. SA, Kenya, Malawi na Zambia

2. Tanzania, Zimbabwe, Mozambique, Uganda, Rwanda na Burundi.

Kuna kundi la wanaofurahia nchi zao kama kina Malema. Pongezi kwao.

Kuna kundi wanalazimishwa kukimbiza mwenge na DR kutokea kusikojulikana zinalazimishwa kuingizwa mahakamani. Kuna gharama za kuyarekebisha hayo ambazo kwa hakika ni justifiable.

Nini kinachotakikana ambacho nani asiyekijua?
 
Mtu na nusu!

Hadi misingi mipya ya haki na usawa katika nchi itakapowekwa, duniani sisi ni mapenzi watazamaji:

IMG_20211119_091739_123.jpg
 
Kabisa na wao wanajua hilo kuwa itatokea tu

Pana haja ya kuwasilisha dream team ya kukamilisha hili. Uongozi usiorudi nyuma ni jambo la msingi zaidi katika mapambano.

Tunayo majina mazito mazito. Lakini kama ambavyo papa wavumavyo baharini, na wengine nao wapo.

Baadhi ya majina hayo mkuu wa mazuzu yanamnyima usingizi.

Kama tupo gia #3 muda wa kwenda #4 ni long overdue.
 
Mungu ni mkubwa na siku zote usimama na wanao onewa na mwanadamu mwenye nguvu
 
Kwenye turntable DJ ni Julius Malema akiwarusha wafuasi wake wa EFF:

View attachment 2017974

Kwetu Sirro akisikia Chadema wana shughuli yao, tegemea kuwaona Kingai na Msemwa wakiwa na DR mkononi kutokea kusikojulikana.

Mvua ipi inyeshe kwetu kwenye mazingira haya?

Jifunzeni ustaarabu. Upinzani si uadui.

Siyo siri mnaichumia nchi laana zisizoihusu.
Hapo mabom ya machozi na mibunduki ingetamaki
 
Back
Top Bottom