Siasa safi raha sanaKwenye turntable DJ ni Julius Malema akiwarusha wafuasi wake wa EFF:
View attachment 2017974
Kwetu Sirro akisikia Chadema wana shughuli yao, tegemea kuwaona Kingai na Msemwa wakiwa na DR mkononi kutokea kusikojulikana.
Mvua ipi inyeshe kwetu kwenye mazingira haya?
Jifunzeni ustaarabu. Upinzani si uadui.
Siyo siri mnaichumia nchi laana zisizoihusu.