King'aa &co akikuwa ataacha kuichukulia siasa ni uadui, hivyo hawatakuwa wanatembe tena na DR kwa ajili ya wapinzani🤔Kwenye turntable DJ ni Julius Malema akiwarusha wafuasi wake wa EFF:
View attachment 2017974
Kwetu Sirro akisikia Chadema wana shughuli yao, tegemea kuwaona Kingai na Msemwa wakiwa na DR mkononi kutokea kusikojulikana.
Mvua ipi inyeshe kwetu kwenye mazingira haya?
Jifunzeni ustaarabu. Upinzani si uadui.
Siyo siri mnaichumia nchi laana zisizoihusu.
King'aa &co akikuwa ataacha kuichukulia siasa ni uadui, hivyo hawatakuwa wanatembe tena na DR kwa ajili ya wapinzani🤔
Upo sahihi na hili limepelea watu kukosa mapenzi na mapolisKwenye turntable DJ ni Julius Malema akiwarusha wafuasi wake wa EFF:
View attachment 2017974
Kwetu Sirro akisikia Chadema wana shughuli yao, tegemea kuwaona Kingai na Msemwa wakiwa na DR mkononi kutokea kusikojulikana.
Mvua ipi inyeshe kwetu kwenye mazingira haya?
Jifunzeni ustaarabu. Upinzani si uadui.
Siyo siri mnaichumia nchi laana zisizoihusu.
Hapo kikubwa ni jinsi intelejensia yao ilivyo kuwa imetegeshwa kwa wana cdmTatizo wala si DR kumbuka yao ni hata ni ya kutokea kusikojulikana
Upo sahihi na hili limepelea watu kukosa mapenzi na mapolis
Hakika kwetu sisi tumebakia kulialia sana ila ipo siku itatimia na ccm itaondoka tuTupiganie nchi ya upendo kama SA. Siri ya nchi zenye furaha kama hizi ni kuwa zimewahi kushikwa na serikali kutokea upinzani mizizi yote ikafumuliwa.
Malawi, Kenya na Zambia ni mfano wa nchi hizo.
hiyo namba 4. ndio laana yenyewe.
Hakika kwetu sisi tumebakia kulialia sana ila ipo siku itatimia na ccm itaondoka tu
Mtu na nusu!
Kabisa na wao wanajua hilo kuwa itatokea tuKuondoka yenyewe hiyo haipo. Hii ni ya kufurusha.
Kabisa na wao wanajua hilo kuwa itatokea tu
Mungu ni mkubwa na siku zote usimama na wanao onewa na mwanadamu mwenye nguvuPana haja ya kuwasilisha dream team ya kukamilisha hili. Uongozi usiorudi nyuma ni jambo la msingi zaidi katika mapambano.
Tunayo majina mazito mazito. Lakini kama ambavyo papa wavumavyo baharini, na wengine nao wapo.
Baadhi ya majina hayo mkuu wa mazuzu yanamnyima usingizi.
Kama tupo gia #3 muda wa kwenda #4 ni long overdue.
Mungu ni mkubwa na siku zote usimama na wanao onewa na mwanadamu mwenye nguvu
Wakumbuke kuwa daima siku hazigandi
Uzi unevamiwa na vichaa wa lumumba.
Hapo mabom ya machozi na mibunduki ingetamakiKwenye turntable DJ ni Julius Malema akiwarusha wafuasi wake wa EFF:
View attachment 2017974
Kwetu Sirro akisikia Chadema wana shughuli yao, tegemea kuwaona Kingai na Msemwa wakiwa na DR mkononi kutokea kusikojulikana.
Mvua ipi inyeshe kwetu kwenye mazingira haya?
Jifunzeni ustaarabu. Upinzani si uadui.
Siyo siri mnaichumia nchi laana zisizoihusu.
Hapo mabom ya machozi na mibunduki ingetamaki