Siasa safi raha sanaKwenye turntable DJ ni Julius Malema akiwarusha wafuasi wake wa EFF:
View attachment 2017974
Kwetu Sirro akisikia Chadema wana shughuli yao, tegemea kuwaona Kingai na Msemwa wakiwa na DR mkononi kutokea kusikojulikana.
Mvua ipi inyeshe kwetu kwenye mazingira haya?
Jifunzeni ustaarabu. Upinzani si uadui.
Siyo siri mnaichumia nchi laana zisizoihusu.
Siasa safi raha sana
Hapa kwetu hata wamama wakifanya Mkutano wa Vicoba Bawacha IGP siku hiyo halali.For "the sake of" siasa safi ni sawa kuumia na hata kufa "for a better future."
Hapa kwetu hata wamama wakifanya Mkutano wa Vicoba Bawacha IGP siku hiyo halali.
Kama kawaida. Kesi hii ni muhimu sana kwa historia ya mahakama na tanzaniaKesho J3 tutaendelea kushuhudua aibu ya Jamhuri! This time hamtaweza kuforce kingi. Mliokuwa mnawaita mabeberu washawaweka kati.