U ukweliusemwekweupe Member Joined May 2, 2026 Posts 64 Reaction score 55 May 10, 2026 #1 Kuna haja ya kufundishwa siasa za kistaarabu za kisomi
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 64,960 Reaction score 111,265 May 10, 2026 #2 ukweliusemwekweupe said: Kuna haja ya kufundishwa siasa za kistaarabu za kisomi Click to expand... Kuna tatizo gani wapinzani wakikosoa kila kitu?
ukweliusemwekweupe said: Kuna haja ya kufundishwa siasa za kistaarabu za kisomi Click to expand... Kuna tatizo gani wapinzani wakikosoa kila kitu?
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 51,453 Reaction score 41,274 May 10, 2026 #3 ukweliusemwekweupe said: Kuna haja ya kufundishwa siasa za kistaarabu za kisomi Click to expand... kukosa agenda, kukosa pesa na kufilisika hoja ni fedheha sana kwa vyama vya siasa hasa Tanzania. vyama vingi vya siasa wamebaki na mihemko na kuporomosha matusi tu 🐒
ukweliusemwekweupe said: Kuna haja ya kufundishwa siasa za kistaarabu za kisomi Click to expand... kukosa agenda, kukosa pesa na kufilisika hoja ni fedheha sana kwa vyama vya siasa hasa Tanzania. vyama vingi vya siasa wamebaki na mihemko na kuporomosha matusi tu 🐒
Mpaji Mungu JF-Expert Member Joined Apr 24, 2023 Posts 17,613 Reaction score 56,787 May 10, 2026 #4 Kukosoa kila kitu. Kusifia kila kitu.