Upinzani Tanzania una matatizo? Vyama havina Succession Plan hivyo vina Usultani! CHADEMA kuna Usultani? Usultani huu Utakiinua au Utakiangamiza?

Jibu la swali hili, litapatikana, leo.
P
 
Familia ya mzee Mwinyi INA wagombea watatu Zanzibar, familia ya Kiwete walikuwa watatu babs, mama na mtoto sasa wamebaki wawili, mama na mtoto. Marehemu Karume alifariki miaka msingi sana lakini uraisi umeendelea kwenye familia yake, marehemu Sokoine alifariki miaka lakini Sokoine bado ni kiongozi serikalini. Kawawa alifariki zamani sana lakini Kawawa bado yupo serikalini na wote niliowataja wameingia serikali ni kwa kuteuliwa siyo kwa barua ya kuomba kazi.
Paskal, POST zako zinaonesha unachuki na upinzani kwani hazina uzito wa kuzibeba na kuzitofautisha sana na CCM na zinakuja mfululizo hasa wakati huu kuelekea serikali mpya.
 
Tulizungumza kuhusu Usultani Chadema, kama utakinusuru chama au Utakiangamiza.
Leo CC ya Chadema inakutana na kuwahoji wabunge wake wa viti maalum waliopishwa Bungeni bila baraka za Chama.

Jee Chadema kuibuka as one strong Chadema kwa kuukubali ukweli bayana, au kuibuka vipande vipande kwa Halima Mdee kukata pande lake?.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…