Upinzani umefirisika sana kisiasa. Hauna Hoja zenye Mashiko unapapasa tu

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Leo hii Wapinzani wanafikia hatua hata kukosoa kufutwa kazini wenye Vyeti fake. Wanaona ilikuwa ni makosa wenye vyeti fake kufutwa kazi.

Kuna mambo ambayo huwa kiuhalisia yanatia aibu sana mustakabali wa Siasa za Taifa hili. Miaka zaidi ya 25 ya siasa za Uchaguzi wa vyama vingi bado wapinzani ni very unmatured. Wanaendesha siasa nyepesi nyepesi zisizo na mashiko.

Kipindi cha Kikwete hoja ambayo iliwabeba sana wapinzani ni Ufisadi.kweli hii waliisimamia kutokana na yaliyokuwepo kipindi hicho.

But ilianza tena kushangaza watu kuona wapinzani hawa wamekuwa watetezi pale hatua zilipoanza kuchukuliwa hatua kwa wale ambao kuna hatua zilichukuliwa.

Ni wapinzani hawa ambao walipinga kwa nguvu mradi wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo. Lakini ulipokuja kupingwa na aliyekuwa Rais kipindi hicho wao ikabidi wageuke kuanza kuusifia. Nadhani wanaonesha dhana nzima ya upinzani ni nini. Leo Zitto bila aibu anadai mradi huo wa kihuni uanze haraka.

Ujenzi wa madaraja,barabara n.k ni vitu ambavyo havikuwa na ubaya kwa nchi hii. Kila Rais alikuwa na vipaumbele vyake.lakini wapinzani waliendesha siasa za ukosoaji mkuu hata kwa mambo ambayo ni ya msingi yanayoonekana hata kwa mtu ambaye hakusoma sana.

Sasa wapinzani hawa hawa wamegeuka kuwa wasifiaji na wakosoaji wa kile lililofanyika before.ni haki yao.

But nadhan wanapaswa kujenga utulivu sana katika siasa. Kuna kipindi waangalie maslahi ya Taifa. Naamini wapinzani wakiamua kuendesha siasa kwa utulivu wataiponya nchi hii.
 
Afandfe selle, kufirisika ndio kufilisika?
Ukiwa unaandika usivute kwanza ile misigara yako.
 
Leo hii wapinzani wanafikia hatua hata kukosoa kufutwa kazini wenye Vyeti fake. Wanaona ilikuwa ni makosa wenye vyeti fake kufutwa kazi.

Kuna mambo ambayo huwa kiuhalisia yanatia aibu sana mustakabali wa Siasa za Taifa hili. Miaka zaidi ya 25 ya siasa za Uchaguzi wa vyama vingi bado wapinzani ni very unmatured. Wanaendesha siasa nyepesi nyepesi zisizo na mashiko.

Kipindi cha Kikwete hoja ambayo iliwabeba sana wapinzani ni Ufisadi.kweli hii waliisimamia kutokana na yaliyokuwepo kipindi hicho.

but ilianza tena kushangaza watu kuona wapinzani hawa wamekuwa watetezi pale hatua zilipoanza kuchukuliwa hatua kwa wale ambao kuna hatua zilichukuliwa.

Ni wapinzani hawa ambao walipinga kwa nguvu mradi wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo. Lakini ulipokuja kupingwa na aliyekuwa Rais kipindi hicho wao ikabidi wageuke kuanza kuusifia. Nadhani wanaonesha dhana nzima ya upinzani ni nini. Leo Zitto bila aibu anadai mradi huo wa kihuni uanze haraka.

Ujenzi wa madaraja,barabara n.k ni vitu ambavyo havikuwa na ubaya kwa nchi hii. Kila Rais alikuwa na vipaumbele vyake.lakini wapinzani waliendesha siasa za ukosoaji mkuu hata kwa mambo ambayo ni ya msingi yanayoonekana hata kwa mtu ambaye hakusoma sana.

Sasa wapinzani hawa hawa wamegeuka kuwa wasifiaji na wakosoaji wa kile lililofanyika before.ni haki yao.

But nadhan wanapaswa kujenga utulivu sana katika siasa. Kuna kipindi waangalie maslahi ya Taifa. Naamini wapinzani wakiamua kuendesha siasa kwa utulivu wataiponya nchi hii.
We kweli Chizi Mpumbavu..
 
Leo hii Wapinzani wanafikia hatua hata kukosoa kufutwa kazini wenye Vyeti fake. Wanaona ilikuwa ni makosa wenye vyeti fake kufutwa kazi.

Kuna mambo ambayo huwa kiuhalisia yanatia aibu sana mustakabali wa Siasa za Taifa hili. Miaka zaidi ya 25 ya siasa za Uchaguzi wa vyama vingi bado wapinzani ni very unmatured. Wanaendesha siasa nyepesi nyepesi zisizo na mashiko.

Kipindi cha Kikwete hoja ambayo iliwabeba sana wapinzani ni Ufisadi.kweli hii waliisimamia kutokana na yaliyokuwepo kipindi hicho.

But ilianza tena kushangaza watu kuona wapinzani hawa wamekuwa watetezi pale hatua zilipoanza kuchukuliwa hatua kwa wale ambao kuna hatua zilichukuliwa.

Ni wapinzani hawa ambao walipinga kwa nguvu mradi wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo. Lakini ulipokuja kupingwa na aliyekuwa Rais kipindi hicho wao ikabidi wageuke kuanza kuusifia. Nadhani wanaonesha dhana nzima ya upinzani ni nini. Leo Zitto bila aibu anadai mradi huo wa kihuni uanze haraka.

Ujenzi wa madaraja,barabara n.k ni vitu ambavyo havikuwa na ubaya kwa nchi hii. Kila Rais alikuwa na vipaumbele vyake.lakini wapinzani waliendesha siasa za ukosoaji mkuu hata kwa mambo ambayo ni ya msingi yanayoonekana hata kwa mtu ambaye hakusoma sana.

Sasa wapinzani hawa hawa wamegeuka kuwa wasifiaji na wakosoaji wa kile lililofanyika before.ni haki yao.

But nadhan wanapaswa kujenga utulivu sana katika siasa. Kuna kipindi waangalie maslahi ya Taifa. Naamini wapinzani wakiamua kuendesha siasa kwa utulivu wataiponya nchi hii.
Magu amekufa na ameacha uozo wa ajabu na bado mpo nae tu?! Na nyie mtaoza kama yeye hivi karibuni.
 
Back
Top Bottom