King Kisali
JF-Expert Member
- Nov 20, 2019
- 1,041
- 1,349
Hili i swali na madai kwa baadhi ya watu wakudai kuwa upinzani umekufa , Umebaki Mtandaoni , mbona mapokezi ya Lissu yanaonyesha hali tofauti.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna wizi Safari hii Kama mlivyozoeaSubiri oktoba
Amini nakwambia , pamoja na polisi, nec, mahakama na hao ccm na wengine wote. Lissu anaenda kumpiga vibaya sana magufuli mwaka huu. Historia itakayoenda kuandikwa mwaka huu Tanzania, hadi Dunia itashangaa nakwambia.Cdm ikipunguziwa washindani yaani ukiwaondoa policcm, tbccm, mahakamaccm ikabaki ccm pekee, lissu anachukua nchi saa nne asubuhi mapema kabisa!
ccm watakuambia ni editing ..lkn ukweli ndo huo .. nyomi mnyomiiHili i swali na madai kwa baadhi ya watu wakudai kuwa upinzani umekufa , Umebaki Mtandaoni , mbona mapokezi ya Lissu yanaonyesha hali tofauti
Naona hapo wanachama, wapenzi na wafuasi wa mabadiliko walikuwa wamejipnga kwenye Foleni ya Tweeter😅😅Hili i swali na madai kwa baadhi ya watu wakudai kuwa upinzani umekufa , Umebaki Mtandaoni , mbona mapokezi ya Lissu yanaonyesha hali tofauti
Hao wote wako nyuma ya keyboard😃😃ccm watakuambia ni editing ..lkn ukweli ndo huo .. nyomi mnyomiiView attachment 1541855
1.5 plus zile zingine za vote 19 zimeliwa hivi hivi na wajanja.Project ya mwenyekiti wa ccm ya kuua upinzani imefeli vibaya, Ingawa imepoteza tril 1.5
Kwenye siasa na hata katika maeneo mengine ya jamii, kama hakuna ushindani wa wazi kunakuwa na ushindani wa siri.Hili i swali na madai kwa baadhi ya watu wakudai kuwa upinzani umekufa , Umebaki Mtandaoni , mbona mapokezi ya Lissu yanaonyesha hali tofauti