denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Sasa Oktoba asubiri nini?! yani mnapigwa sasa hivi halafu unamwambia mshindani wako asubiri siku nyingine ili iweje?!Subiri Oktoba
Ok, mtasaidiwa na tume na polisi wenu, safari hii hamtaamini kitakachotokea nyie chezeni na haki za watu tu.