Upinzani Umekufa? Upinzani Umebaki mtandaoni, hali halisi ni ipi?

Subiri Oktoba
Sasa Oktoba asubiri nini?! yani mnapigwa sasa hivi halafu unamwambia mshindani wako asubiri siku nyingine ili iweje?!

Ok, mtasaidiwa na tume na polisi wenu, safari hii hamtaamini kitakachotokea nyie chezeni na haki za watu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…