Upinzani unazidi kumuweka mbali Tundu Lissu na kujiweka karibu na Serikali za CCM

Upinzani unazidi kumuweka mbali Tundu Lissu na kujiweka karibu na Serikali za CCM

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kitendo cha Wabunge wa CHADEMA kuapishwa Dodoma chini ya kiongozi mkongwe na mwenyekiti wa Bawacha ni kujitenga na falsafa za Tundu Lisu za kususa na "kugomea"

Kitendo cha ACT Wazalendo kujiunga na SUK huko Zanzibar ni ishara tosha ya kumtenga Tundu Lissu na wakili wake Amsterdam huko ICC.

Kiufupi, Tundu Lissu ameachwa mpweke na rafiki zake.

Maendeleo hayana vyama!
 
Yani upinzani Tanzania ni sawa na kutafta bikra kwenye wodi ya wazazi, yani ni hamna.. mwanzoni niliamini pengine cdm ni wapinzani kweli lakni kwa kitendo cha kina james mdee ambao ndio magwiji kukubali ubunge wanaosema "fake" kumenifanya kuona cdm ni utopolo kama utopolo wa pro lipumbafu na KAFU yake🤔🤔

Yani tz upinzani labda upo kwa rungwe spunda😂😂😂 au dovutwa na sio mbowe 😊
 
Chama halisi cha upinzani Tanzania kwa wakati huu ni Chadema pekee.

Kukubali kujiunga na serikali ambayo siku za nyuma ilishawapa hizo nafasi lakini haikuwapa ushirikiano kwenye utendaji kazi ni uoga na kukata tamaa.
Mlisema Lisu kaja na ulinzi usioonekana toka kwa mabeberu, na mtu akimgusa atakiona ndio maana Lisu haogopi chochote, lakini kitisho tu cha kwenye simu akatimua mbio
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Lisu katepeta
Lisu ni debe tupu
 
Back
Top Bottom