johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahahaaaa. Aliye juu unamngoja chini au na wewe unapanda juu?Subira hutoa majibu ya maswali yote kwa mwenye kustahimili
Tuendelee kuwa na subira
Chadema hii ya akina Halima James Mdee?!!Chama halisi cha upinzani Tanzania kwa wakati huu ni Chadema pekee.
Mdee ndio nani?Chadema hii ya akina Halima James Mdee?!!
Acha utani bhana.
Halima!Mdee ndio nani?
Hakuna mwanachama mwenye jina hilo.
Silioni hilo jina kwenye database.Halima!
Vaa miwani utaliona Halima James Mdee!Silioni hilo jina kwenye database.
Wenyewe wamelala usingizi wa pono!Pale unapowasemea huku wenyewe wako kimya....
Mlisema Lisu kaja na ulinzi usioonekana toka kwa mabeberu, na mtu akimgusa atakiona ndio maana Lisu haogopi chochote, lakini kitisho tu cha kwenye simu akatimua mbioChama halisi cha upinzani Tanzania kwa wakati huu ni Chadema pekee.
Kukubali kujiunga na serikali ambayo siku za nyuma ilishawapa hizo nafasi lakini haikuwapa ushirikiano kwenye utendaji kazi ni uoga na kukata tamaa.
Mbowe kaomba uteuzi bwashee!Chadema haina shirika na Serikali dhalimu ya CCM
ThibitishaMbowe kaomba uteuzi bwashee!