Upinzani wa Tanzania: Je, Mnajua Mnachokitaka?

Niliwahi kuandika tafakuri ya namna hii pia.

 
upinzani wa Tanzania ni dadiadandia kanyaga twende 🐒
 
Diwani Manara ( CCM ) : "Barua ndefu kama mkojo wa firauni"..

Maneno meeengi halafu lengo ni moja tu: kulisha wajinga chakula chao pendwa ujinga...

Unawashtaki wapinzani kwa wananchi, wananchi waone dola iko sahihi..

Halafu unawapa na kuwaamulia wananchi solution ya tatizo.

Kama cement vile unapandisha bei halafu unakusanya camera na mic, unashusha bei kuonyesha huruma kwa wananchi..

siasa raha sana...
 
Hatutaki mauaji na utekaji kila siku. Tunataka ulinzi wa kila mwananchi ili tufurahie kuwa huru
 
Umeandika mambo mengi....kiufupi tu...Wekeni fair play....Hata kwenye uongozi...mfano Raisi akiwa ni CCM makamo awe kutoka upinzani....hivo hvo mpaka ngazi ya DC ili kuweka U wazi katika serikali.....Mimi binafsi nilitamani hata kuona Waziri mkuu anatoka chama cha SAU au hata kingine cha upinzani.....kwenye wabunge msijiludike wenyewe asilimia kubwa changanyeni hata chakula ukikichanganya na viongo mbalimbali kinakuwa na radha.....kwanini mjiludike wenyewe ndo maana wanakosa imani na nyie....Kingine....Mbona hoja zao upinzani ni za kawaida? Wanaposema mnaharibu mazingira maana yake si wanawatahadharidha msiharibu mazingira mbona ni Uzalendo? Ngoja niidhie hapa.Katiba mpya tunapata lini?
 
 

Attachments

  • d090ba3c7e5fc81edf99cc3586496b03_1789282731652.mp4
    18.7 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…