Upinzani wakosa hoja za msingi za kujadili, waibuka na umri wa mzee Wasira

Una upunguani kiasi kikubwa ,na mapenzi ya wazi kwa ccm,
Hotuba nzima alimzungumzia huyo mzee? Mpaka ukaona la kubeba ni hilo tu
Mambo ya msingi gani unayozungumzia wewe hayajawahi kusemwa na upinzani,sema hoja moja ambayo unahisi haijawahi semwa na upinzani nikuumbue saii,acha mapezi na mihemko,

ccm ilishashindwa
 
Kuzungumzia umaskini ni hoja inayotakiwa wajibiwe kwa upana zaidi na sio kelele
 
Nimesoma Comment yako lakini sioni sehemu ambayo umejibu nilichokiandika nahisi wewe ndio umekuja kujibu kwa mwehumko.

Swali je kumzungumzia wasira katika majukwaa ya kisiasa je upinzani umekosa hoja ya kuwasilisha kwa wananchi?
 
Ni hilo tu ndo umeliskia ww kwny hotuba zote za heche au siyo? Haya twambie wasira huko anakozurula anazungumza hoja gani za maana mi namskia akimtaja lissu na chadema tu
 
Ametaka mdaharo na mnaemuamini kuwa anajua kila kitu mbona hawampi majibu? Sema Mzee kawakalia kooni.
CHADEMA imepoteza muelekeo Mama Samia mitano tena.Viongozi wa Sasa wa CHADEMA hawana maarifa ya uongozi hekima ndiyo wamekosa kabisa
 
Ni hilo tu ndo umeliskia ww kwny hotuba zote za heche au siyo? Haya twambie wasira huko anakozurula anazungumza hoja gani za maana mi namskia akimtaja lissu na chadema tu
Hiyo ndio ilikuwa agenda ya kuwahubiria Wananchi?
 
We unaona ni hoja dhaifu. Mzee kateuliwa tu kwanza picha inaanze jina limetokea maziwani huko (yaani nyonyoni). Hakuwa na hili wala lile akajikuta ni makamu. Ghafla kaanza na 4R za mama. Ghafla tena 4R kazitupa kaanze vijembe, hadi kuhusisha cdm na ushoga, mara honeymoon. Hajui majukumu yake. Akimaliza kuchamba analala. Huyu kauli zake zina sumu kubwa, japo sishauri ajibiwr na chama ngazi za juu. Anaoaswa kujibiwa na kina Bavicha, wam Gen Z kidogo tu
 
Wasira ni Mzee kweli na akili yake imechoka kupita kiasi akapumzike na astaafishwe Kwa lazima
 
Huyu wamrudishe tu huko hifadhi ya Gombe kwenye makazi yake ya asili
 
Na anawapwlekea moto kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…