Upinzani wakosa hoja za msingi za kujadili, waibuka na umri wa mzee Wasira

Upinzani wakosa hoja za msingi za kujadili, waibuka na umri wa mzee Wasira

Unamaanish
Hata kama utabisha, wee ni mjinga na Hauna akili kichwan mwako.

Yaan Upinzani, watoe suluhisho ili CCM iyafanyie kazi ,waonekane ndio wemetenda?.

Unaonekana safari yako ya Elimu ,ulikua unaibia mitihan Kwa sana.
a kazi kubwa ya vyama vya upinzani ni kutengeneza vitendawili vichwani kwa wananchi?...hapana

Vyama vya upinzani ni lazima waoneshe suluhu ya tatizo kwamba endapo wananchi watawaamini basi wao watafanya hivi na hivi ili kuondoa hilo tatizo ila ukisema wabaki kuibua matatizo bila kuelezea suluhu za matatizo hakuna utofauti na hadithi za kale
 
Back
Top Bottom