Upinzani wakosa hoja za msingi za kujadili, waibuka na umri wa mzee Wasira

 
Nahisi huna cha kujibu kwenye hilo ndio maana umekazana na Zee hana adabu posipo kuangalia wa upande wa pili wao wapoje.
Yeye ndiye alianza kutoa maneno ya shombo, alimkejeli Lissu kwa ulemavu aliosababishiwa na CCM na pia alimuita Heche chawa wa Lissu sasa ni haki naye ajibiwe kwa lugha kali kwani hataki kujiheshimu.
 
Tuliani dawa iwaingie.
 
Yeye ndiye alianza kutoa maneno ya shombo, alimkejeli Lissu kwa ulemavu aliosababishiwa na CCM na pia alimuita Heche chawa wa Lissu sasa ni haki naye ajibiwe kwa lugha kali kwani hataki kujiheshimu.
Kwani uongo Lissu sio mlemavu?
 
Upinzani wanachotakiwa kufanya ni kujadili mambo ya msingi kwa Taifa na sio kujadili umri wa mtu.
Mmesahau mlivyomshupalia marehemu Lowasa kipindi kile kuhusu afya yake, hamkujua haya? Pimbi ninyi acheni na yeye wambagaze kwa uzee wake
 
Sasa ndiyo amkejeli? Halafu akijibiwa sawa na upumbavu wake mnatoa povu. Hilo zee ni likorofi halistahili heshima yoyote
Usichokijua kwa Mzee Wasira hana ukorofi na ukitaka kujua hilo kasikilize interviw alioifanya leo na Clouds Fm ndio utajua hilo na leo kawabomoa tena.
 
Kama kweli wewe unaona Wasira ana mchango mkubwa kwa taifa hili kwa sasa Basi lazima umeze dawa zako usikatishe. Hata kama heche kasema kitu ambachi wewe hakikukupendeza huwe kusema wasira ni mbadala kwa wapinzani.
 
Ilikuwa ni vyema kuzunumzia umaskini bila kumtaja Wasira lakini kumtaja kwenye majukwaa ni dhahiri inaonekana mmekosa hoja hivyo mjipange vizuri mnapokuwa majukwaani.
Hapo naona hujaelewa nilichoandika
Nimesisitiza kuongelea umasikini zaidi na sio vingine
Mimi sijawahi kupiga kura huko ila nafuatilia tu
Africa siasa za hovyo kabisa
Mara mtu ajizungumzie yeye na matatizo yake, mara atukane mtu, na hata kutoana roho kwa ajili ya matumbo
 
Tumekusikia WASIRA!
 
Ikiwa Makamu wa Rais katika umri wa miaka 68 anatumia busara na hekima na kuona mantiki kubwa kupisha vijana watumike katika nafasi za juu zaq uongozi, inakuwaje mzee wa miaka 80 haioni mantiki hoyo.

Umri wa uzee zaidi ya miaka 70 huku ukiwakatika utumishi wa umma ni aibu. Kutumika kwa wazee wa umri wa miaka 70 katika nyanja za kiimani na kidini huwa ni jambo sahihi, kwa kuwa umri huu huwafanya kuwa "conservative" na misingi ya kiimani, hivyo huwa ni nguvu thabiti katika kuilinda, kuidumisha, na kuiimarisha.

Mzee hawezi kuhimili mikikimiiki ya kusafiri mara kwa mara na kwa umbali mrefu, mzee hawezi kubadirika kwa haraka kutokana na matakwa ya wakati, hupoteza kumbukumbu hata kwa mambo muhimu yenye kuhitaji "rational decision", hukumbwa mara kwa mara magonjwa nyemelezi kurokana "senility"

Chunguza kwa makini watu wote waliowahi kushikilia nafasi hito aliyonayo, linganisha na matendo na kauli zake, hakika utaona bayana kuwa amepwelea sana. Akili na mwili wake vimechoka sana.

Shauri zake, mficha maradhi, kifo kitamuumbua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…