a kazi kubwa ya vyama vya upinzani ni kutengeneza vitendawili vichwani kwa wananchi?...hapana
Vyama vya upinzani ni lazima waoneshe suluhu ya tatizo kwamba endapo wananchi watawaamini basi wao watafanya hivi na hivi ili kuondoa hilo tatizo ila ukisema wabaki kuibua matatizo bila kuelezea suluhu za matatizo hakuna utofauti na hadithi za kale
Inaonekana pia umechukua heading ya mitandaoni, maana Heche alitumia sekunde 50 tu kumsema Wassira ila mkutano ulikuwa wa masaa. Wewe na ujinga wako mengine yoote hukuyaona