Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Historia ya Tanzania(tanganyika) inatuonesha muasisi mkuu wa chama cha TAA hatimae TANU(CCM) ndiye Rais wa awamu ya kwanza wa nchi MWALIM NYERERE ndiye yeye aliyeanzisha itikadi na falsafa za chama pamoja na utamaduni huu ambao tupo based.Lakin napata mshangao kuona majukwaa ya upinzani wanatumia ideas za NYERERE wakati ndiye alifikisha nchi hapa kwa chama wanachokipigia kelele.walamsiki
itikadi za Nyerere za ccm ile ni tofauti na hii ccm yako ya leo. Nyie wahafidhina mmeanza ehee.
Unataka kutuaminisha kuwa Nyerere angekuepo leo basi angebariki uteuzi wa kaka yenu Bashite?
lol....
kwani tatizo la sasa syo katiba?itikadi za Nyerere za ccm ile ni tofauti na hii ccm yako ya leo. Nyie wahafidhina mmeanza ehee.
Unataka kutuaminisha kuwa Nyerere angekuepo leo basi angebariki uteuzi wa kaka yenu Bashite?
lol....
yey mali alizificha na akamkabidh wazir anay muamin mwsho wa siku jamaa alifarik nyerere hakua na jinsi,kaiba mbn yule.
nakupa ukwel wa mambo..human is selfish hkn mtu asiyependa mali na madaraka ndyo maana alikumia miak ming madarakanAngalia usijekuwa wamwongelea Steve au Yeriko
nakupa ukwel wa mambo..human is selfish hkn mtu asiyependa mali na madaraka ndyo maana alikumia miak ming madarakan