Upinzani watangaza mapambano 2008


Hii si kweli mkuu... hakuna sheria hapa US inayolazimisha polisi au yeyote kutoa taarifa za waliokufa magazetini.
 
Mwanakiji naye amalize mjadala kwa kusema the same!!Kwa hiyo mnamtelekeza Zitto officially ama?
Halafu muniachie miye niwapashe ukweli!
 
ALAH!
Ishakuwa hivyo tena!

That's correct!

Soma nilichosema kwenye thread yangu.... niliahidi kutompondea Kikwete kwa muda wa mwezi mmoja kuanzia May 7th. Hii ni ahadi yangu binafsi ambayo sio ulazima kwa yeyote yule kuanzia Zitto, wewe, au wale vijana wa Pemba na Unguja wanaopigania haki zao wanaolazimishwa kuifuata.
 
Mimi sitaki nasema sitaki upinzani uuwawe kama ilivyofanywa na kina Marando,Lamwai na Kaborou!
Walioamua kujiunga na mafisadi in leu of THE PEOPLE'S trust!
Na sasa wanakula kuku lakini wananchi bado wanateseka!
NASEMA SITAKI UPINZANI UUWAWE WAKATI AMBAPO WANA NAFASI KUBWA YA KUCHUKUA NCHI!
 

Do something kama hutaki upinzani kuuwawa! unaweza pia ukajiunga na vyama hivyo na ukaongoza kimakini. Hizi generalizations na kumlinganisha Zitto na kina Marando ni very unfounded.

hata kama Zitto akiungana na ccm, sidhani kama huo ndio mwisho wa upinzani kwani upinzani wa ccm sasa hivi unatoka ndani ya mioyo ya watanzania waliochoshwa na mambo ya ccm na sio tu kufuata wanachosema viongozi wa upinzani.
 
Mimi sikubaliani na hii mada ya SHY!
Ila sasa we want something positive out of negative...That way we can straighting out the points!
 


suala la Balali nenda kwenye ile mada; hapa tunazungumza kwenye kuahadaa jamii, na wewe umeamua kuonesha kuwa Zitto anaahadaa jamii kitu ambacho hadi hivi sasa umeshindwa kuthibitha kabisa.
 

Sasa hapa nachokifanya ni kipi?
Mbona hujajibu kama Zitto ana mwelekeo waki MARANDO MARANDO AMA WA KI KABURU KABURU..AMA KI LASWAI LASWAI?
 


Mara "unataka" mara "sitaki" hivi kwanini watu wajali kile unachotaka au usichotaka wewe?
 

Vibaraka wa mafisadi utawajua tu. Wao badala ya kuangalia jinsi nchi inavyofanyiwa ufisadi wa hali ya juu, wanataka kupotosha ukweli ili ionekane upinzani ndio unaohadaa jamii! Watanzania kidogo kidogo wanafungua macho na kujua ukweli umelalia wapi na muda si mrefu chama cha mafisadi kitabaki kuwa ni history katika anga za siasa za Tanzania.
 
Sasa hapa nachokifanya ni kipi?
Mbona hujajibu kama Zitto ana mwelekeo waki MARANDO MARANDO AMA WA KI KABURU KABURU..AMA KI LASWAI LASWAI?

Hilo si swali langu kujibu maana hili ni la kimtazamo zaidi ya facts. SO far mi naona zitto anafanya kazi nzuri sana na hajafanya chochote cha kufikia kina Marando.

Bado sijaona wewe ulichofanya.
 

mawazo mazuri SHY ! keep it up !
 
Si manaona Kada naye kaja?
Ngoja sasa niwaachie Kada!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…