Upinzani watangaza mapambano 2008

Upinzani watangaza mapambano 2008

Nani anayekamata wahalifu nchini, Kikwete?

Kwa hiyo na wewe pIa unaamnini kuwa nani aje huku kumkamata Balali?
NANI MWENYE MADARAKA YA KUTOA AMRI HIYO?UCHUNGUZI GANI HUO USIOHUSISHA WATUHUMIWA KUHOJIWA?
Au kwasababu na wewe unataka tuamini kuwa KAFA?
 
Si anasema tutoe muda tu kila siku kwa swaiba wake kuhusiana na ripoti ya kamati ya madini?
Na wewe si umeshaweka hilo wazi?
Sasa hapa nani anamchanganya nani?

Aliyeunda Kamati ni Rais, na hiyo ndiyo kamati ya Rais, na ndiyo sababu binafsi niliipinga hiyo kamati kwani at the end ni Rais mwenye uamuzi wa lini ataipokea, nini atatangaza, lini atatangaza n.k Nadhani wewe ndio unajichanganya mwenyewe kwa sababu sidhani kama unaelewa Kamati ya Rais ina nguvu gani na wajumbe wake wana nguvu gani? Nikufafanulie?
 
ni visingizio gani hivyo, vilitolewa lini na wapi? au tukubali tu kwa vile wewe umesema?
Visingizio kwamba uchunguzi unaendelea huku watuhumiwa wakiwa hawakamatwi wala kuhojiwa?
Kwamba eti wakimtaka Balali watampata!?
 
Si toka alipomweka kwenye kamati ya madini pamoja na baadhi ya watuhumiwa wa ufisadi?

Kwa hiyo ndio unachokiita uswahiba? Unaonaje labda alifanya kile kinachosemwa "keep your friends close, but your enemies closer"?
 
Visingizio kwamba uchunguzi unaendelea huku watuhumiwa wakiwa hawakamatwi wala kuhojiwa?
Kwamba eti wakimtaka Balali watampata!?

hayo yalisemwa na Zitto au na nani? na kwanini usimuulize aliyesema badala ya kumuuliza Zitto?
 
Aliyetoa visingizio ni Zitto au ni nani?
Umesahahu the slogan kuwa no more KIKWETE BASHING for at least a month?
Umesahau maneno yako kule kwenye kamati ya madini kuwa wapewe muda zaidi ya ambao sasa umesha pita mara mbili ya ule waliopewa wa awali wa miezi mitatu?
 
una uhakika?
 
Je wewe unajua kama Balali yuko hai au amekufa?

Kama unajua kuwa Balali yuko hai mbona hujamkamata?
Hivi kweli Mwafrika wa Kike haya maswali yanatoka kwako?
Si naona sasa!
KUMBE NA WEWE NI MMOJA WAPO WA WALE WANAOTAKA KUENEZA PROPAGANDA KUWA BALALI KAFA?
 
Hivi kweli Mwafrika wa Kike haya maswali yanatoka kwako?
Si naona sasa!
KUMBE NA WEWE NI MMOJA WAPO WA WALE WANAOTAKA KUENEZA PROPAGANDA KUWA BALALI KAFA?

kama hajafa yuko wapi na unaushahidi gani kuwa yuko hai? au tuamini kwa vile wewe umesema?
 
kama hajafa yuko wapi na unaushahidi gani kuwa yuko hai? au tuamini kwa vile wewe umesema?
Nimeshaweka wazi kuwa hapa marekani kama mtu akifa si SIRI!
Ama kufunga ndoa etc!
HIZO ZOTE NI PUBLIC INFORMATION AMABAZO TUKO ENTITLED TO! Huwa zinatolewa kwenye magazeti etc!
Na wewe si ulishaweka wazi kuwa ulikuwa ukimfuatilia?
Ama umesahau?
Tueleze basi kama unajua kafa!
Maana hapa si kijijini!
 
Umesahahu the slogan kuwa no more KIKWETE BASHING for at least a month?
Umesahau maneno yako kule kwenye kamati ya madini kuwa wapewe muda zaidi ya ambao sasa umesha pita mara mbili ya ule waliopewa wa awali wa miezi mitatu?

Haya ni maneno yangu na sio ya Zitto au ya yeyote yule zaidi yangu mwenyewe.
 
Very postive!
Nenda kwenye ile thread aliyoanzisha mwafrika wa kike kuwa sasa hataki Kikwete azungumziwe kwa ubaya!

mimi ndio sitaki kumbashia Kikwete for a month na sio kwamba nazuia watu wengine kufanya hivyo. Wewe kama unataka kumbashia Kikwete you can just go ahead and do it.
 
Back
Top Bottom