KadaMpinzani
JF-Expert Member
- Jan 31, 2007
- 3,715
- 92
Babkubwa tu!
Na ndio maana na mimi nina MASHAKA kwasababu umefanikiwa kubadili mawazo kwa muda mfupi sana kiasi cha KUTISHA huku kukiwa hakuna kitu kilichofanyika cha kuweza kutu convince THE PEOPLE ADAWAIS!
Kazi ya kumpigia kifua Kikwete si ilikuwa ya KADA MPINZANI BEFORE?bahati mbaya nilishakuja before ya kunileta !
sorry hii post was meant to answer Mwafrika wa kike!Kazi ya kumpigia kifua Kikwete si ilikuwa ya KADA MPINZANI BEFORE?
NI LINI IMEBADILIKA KUWA YAKO WEWE ZITTO NA MKJJ?
Kazi ya kumpigia kifua Kikwete si ilikuwa ya KADA MPINZANI BEFORE?
NI LINI IMEBADILIKA KUWA YAKO WEWE ZITTO NA MKJJ?
MAKUBWA SANA!Je ni makosa kutompondea Kikwete?
Nataka majibu yote!
Nataka pia unionyeshe nilipojichanganya!
NANI ANAMCHANGANYA NANI NA SASA INAONEKANA KUWA NYIE MNAMPIGIA KIFUA KIKWETE NA ZITTO...SI NDIO WACHANGANYAJI NYIE?...AMA NDO MIMI MUULIZA MASWALI MCHANGANYIKO NINAEWACHANGANYA?
Nani mwenye kumchanganya nani?
Be specific Pls
Je ni makosa kutompondea Kikwete?
je akifanya hivi Kada ndio anakuwa ametumwa au ?
Hii sasa inadhihirisha kwamba wengi waliomo JF ni WANAFIKI, maana kitu akisema kada basi utasikia ooh katumwa huyo, hivi na vile.. fisadi huyo.!!
sasa waliokuwa wakiniita fisadi wako wapi ?
Are you sure you havent done that yet?Kuna tofauti kati ya kumtetea kikwete (kumpigia debe Kikwete) na kutomtetea Kikwete (just being silent) kwenye anayofanya for a while.
Nikianza kumtetea Kikwete hapa, nitajiita fisadi mwenyewe.
Are you sure you havent done that yet?
Kuna tofauti kati ya kumtetea kikwete (kumpigia debe Kikwete) na kutomtetea Kikwete (just being silent) kwenye anayofanya for a while.
Nikianza kumtetea Kikwete hapa, nitajiita fisadi mwenyewe.
tatizo sio kumtetea kikwete (hapo nadhani ndio wengi WENU MNASHINDWA KUELEWA)! hakuna anayepinga kwamba kuna mabaya yanatokea, lakini pia vile vile kuna mazuri yanatokea (ukitaka nitakupa, mengi sana) lakini kwa kuwa NYINYI mpo CHADEMA ORIENTED basi mnataka kuipiga bao ccm kwa machache maovu yanayotokea, kwani nani asiyejua goals za chadema 2010 ? kusimamisha njimbi zao mkoa wa dar-es-salaam na kugombea ubunge ?
but i understand that, thats the nature of politics, kuna RULING PARTY CRITICS (ambao ni majority yenu humu) na kuna wale wanaoitetea serikali kwa maslahi ya serikali na taifa (bila kuzingatia chama chochote) !!
NI KWELI KUNA MABYA LAKINI PIA VILE VILE KUNA MAZURI, NO MATTER HOW YOU ARE GOING TO SPIN IT BUT THAT A FACTS ! kama unabisha bisha, tupo hapa !
Kikwete asipotoa ripoti kama inavyotegemewa na wengi hii issue itakuwa mpeleke mpeleke!Very sure!
Kikwete asipotoa ripoti kama inavyotegemewa na wengi hii issue itakuwa mpeleke mpeleke!
Huwa nasubiria sana kukuona ukisema haya "mazuri" ya serikali. Anzisha thread ya mazuri ya serikali ili yaonekane mkuu ili uthibitishe kauli yako.
Kikwete asipotoa ripoti kama inavyotegemewa na wengi hii issue itakuwa mpeleke mpeleke!
Ila wasiwasi wangu ni kuwa..Je tunayo tarehe kamili ya Kikwete kutoa ripoti?Finally.. naona umeona mwanga! good work.. why did it take you that long?
Welcome to my world!
Part ya strategy yangu ni kutoa breathing room kuona nini Kikwete atafanya kwa mwezi mmoja. Kuna wakati ninakuwa kwenye offensive too much na labda nashindwa kuona "mazuri" yanayoonwa na wengine.
Hii report alishakabidhiwa Kikwete na muda si mrefu siku zangu 30 zitakwisha na kisha libeneke litaendelea kama kawaida. By that time though nitakuwa nimejenga case nzuri na nitakuwa na ushahidi wa kutosha kumpondea Kikwete hapa JF na kwingineko.