tatizo sio kumtetea kikwete (hapo nadhani ndio wengi WENU MNASHINDWA KUELEWA)! hakuna anayepinga kwamba kuna mabaya yanatokea, lakini pia vile vile kuna mazuri yanatokea (ukitaka nitakupa, mengi sana) lakini kwa kuwa NYINYI mpo CHADEMA ORIENTED basi mnataka kuipiga bao ccm kwa machache maovu yanayotokea, kwani nani asiyejua goals za chadema 2010 ? kusimamisha njimbi zao mkoa wa dar-es-salaam na kugombea ubunge ?
but i understand that, thats the nature of politics, kuna RULING PARTY CRITICS (ambao ni majority yenu humu) na kuna wale wanaoitetea serikali kwa maslahi ya serikali na taifa (bila kuzingatia chama chochote) !!
NI KWELI KUNA MABYA LAKINI PIA VILE VILE KUNA MAZURI, NO MATTER HOW YOU ARE GOING TO SPIN IT BUT THAT A FACTS ! kama unabisha bisha, tupo hapa !