Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 60
critic ni critic siku zote, sikukosea niliposema huwezi kuona jema hata moja !
sioni tatizo, mwafrika wa kike, amekuja kutestify link kati ya chadema na jf !
Nataka msimamo wa Zitto kwenye hili!
Kwamba kama alijua kuwa Rais ndiye mwenye msimamo wa mwisho..then kumpa muda wa nini?
We unafikiri Chama cha Mapinduzi kitamwachia akiue?
NDOTO!
Nani amesema ripoti imetolewa marwa!Kwa maneno haya mwafrika wa kike unakuwa kwenye hatari Zito kama JF inayo na Zito anayo, implication ni kuwa Zito kaitoa kabra ya kamati, angarieni maneno jamani mwenzenu huyo ataponzeka hivi hiiiviiiii
Nillikuwa nikizungumzia kuwa ni kipi haswa kinachokufanya wewe uamini kuwa JK ataitoa ripoti hii na ni wazi kuwa hajawahi kuzitoa nyingine zilizopita dating back to alizozirithi kutoka kwa Mkapa?na usipoupata? na nani kampa muda Rais wakati Rais ndiye aliyetoa muda?
Kwa hiyo hivi sasa naona matumaini...Ila nachukia ninapoambiwa kuwa eti Rais ataitoa kwa muda wake!That's a ten thousand dollars question, anayetakiwa kutoa report anajulikana na inasubiriwa ionekane kama ataitoa au la. Mtego hapa ni mkubwa kwa vile Zitto naye anayo report na JF inayo report just waiting for the right time to do the obvious - shame the devil.
Nisipoupata then nitajua hata wewe lako na Kikwete!na usipoupata? na nani kampa muda Rais wakati Rais ndiye aliyetoa muda?
Nillikuwa nikizungumzia kuwa ni kipi haswa kinachokufanya wewe uamini kuwa JK ataitoa ripoti hii na ni wazi kuwa hajawahi kuzitoa nyingine zilizopita dating back to alizozirithi kutoka kwa Mkapa?
Kwahiyo MKJJ kama rais hajapewa muda then what?
Apewe muda baada ya uchaguzi ujao...Unaonaje hapo?
Hivi kama watu wazitto kama Zitto wasipombana rais atoe ripoti..Then nani mwingine mwenye kuweza kufanya hivyo?
Sasa nikianza vita vya mjadala kuwa wewe,Kikwete,Mwafrika wa Kike na Zitto mna agenda gani nina makosa?huwezi kumpa muda au kumchukulia muda! Yeye ndiyo Rais!!
Ok then...USHAURI WAKO NINI?Hakuna, na si Zitto anayeweza "kumbana" Rais afanye jambo ambalo hataki kufanya. Yeye ndiye aliyeunda tume na ni yeye mwenye uamuzi wa mwisho kuhusu tume hiyo.
Kwanini aliingia kwenye tume ambayo iliundwa na mafisadi?Hakuna, na si Zitto anayeweza "kumbana" Rais afanye jambo ambalo hataki kufanya. Yeye ndiye aliyeunda tume na ni yeye mwenye uamuzi wa mwisho kuhusu tume hiyo.
Ushauri wako tukae kimya SIVYO?Hakuna, na si Zitto anayeweza "kumbana" Rais afanye jambo ambalo hataki kufanya. Yeye ndiye aliyeunda tume na ni yeye mwenye uamuzi wa mwisho kuhusu tume hiyo.
Sasa nikianza vita vya mjadala kuwa wewe,Kikwete,Mwafrika wa Kike na Zitto mna agenda gani nina makosa?
Kwahiyo bottom line unataka tusiulize?huwezi kumpa muda au kumchukulia muda! Yeye ndiyo Rais!!
KWANI SI NDIO KINACHOENDELEA HAPA?Huna makosa kabisa na unaruhusiwa kuanza hivyo right now.
Next........