Upinzani watangaza mapambano 2008

Upinzani watangaza mapambano 2008

sioni tatizo, mwafrika wa kike, amekuja kutestify link kati ya chadema na jf !

Inaamaana hukujua kuwa JF ina links kibao kuanzia ikulu kwa Kikwete hadi kwenye chama cha watoto wa mitaani kule kijiji cha waliofilisiwa na wazungu wa Buzwagi - Buzwagi!
 
Nataka msimamo wa Zitto kwenye hili!
Kwamba kama alijua kuwa Rais ndiye mwenye msimamo wa mwisho..then kumpa muda wa nini?
We unafikiri Chama cha Mapinduzi kitamwachia akiue?
NDOTO!

na usipoupata? na nani kampa muda Rais wakati Rais ndiye aliyetoa muda?
 
Kwa maneno haya mwafrika wa kike unakuwa kwenye hatari Zito kama JF inayo na Zito anayo, implication ni kuwa Zito kaitoa kabra ya kamati, angarieni maneno jamani mwenzenu huyo ataponzeka hivi hiiiviiiii
Nani amesema ripoti imetolewa marwa!
Kwani hao wanakamati wengine si wanayo pia?
 
na usipoupata? na nani kampa muda Rais wakati Rais ndiye aliyetoa muda?
Nillikuwa nikizungumzia kuwa ni kipi haswa kinachokufanya wewe uamini kuwa JK ataitoa ripoti hii na ni wazi kuwa hajawahi kuzitoa nyingine zilizopita dating back to alizozirithi kutoka kwa Mkapa?
 
That's a ten thousand dollars question, anayetakiwa kutoa report anajulikana na inasubiriwa ionekane kama ataitoa au la. Mtego hapa ni mkubwa kwa vile Zitto naye anayo report na JF inayo report just waiting for the right time to do the obvious - shame the devil.
Kwa hiyo hivi sasa naona matumaini...Ila nachukia ninapoambiwa kuwa eti Rais ataitoa kwa muda wake!
Ni lini ana muda wa kutoa ripoti za kamati?
Kama lini?
Yani aiangamize CCM?
Lets wait n c
 
Kwahiyo MKJJ kama rais hajapewa muda then what?
Apewe muda baada ya uchaguzi ujao...Unaonaje hapo?
 
Hivi kama watu wazitto kama Zitto wasipombana rais atoe ripoti..Then nani mwingine mwenye kuweza kufanya hivyo?
 
Nillikuwa nikizungumzia kuwa ni kipi haswa kinachokufanya wewe uamini kuwa JK ataitoa ripoti hii na ni wazi kuwa hajawahi kuzitoa nyingine zilizopita dating back to alizozirithi kutoka kwa Mkapa?

Ni wapi nilisema kuwa naamini kuwa JK ataitoa ripoti hii? usianze kufikiria vitu visivyokuwapo. Rudi nyuma uangalie ni kwanini nilipinga kuundwa kamati ya Rais badala ya ile ya Bunge.
 
Hivi kama watu wazitto kama Zitto wasipombana rais atoe ripoti..Then nani mwingine mwenye kuweza kufanya hivyo?

Hakuna, na si Zitto anayeweza "kumbana" Rais afanye jambo ambalo hataki kufanya. Yeye ndiye aliyeunda tume na ni yeye mwenye uamuzi wa mwisho kuhusu tume hiyo.
 
Hakuna, na si Zitto anayeweza "kumbana" Rais afanye jambo ambalo hataki kufanya. Yeye ndiye aliyeunda tume na ni yeye mwenye uamuzi wa mwisho kuhusu tume hiyo.
Kwanini aliingia kwenye tume ambayo iliundwa na mafisadi?
Huku akijua kuwa Nothing will be done?
NDO DEFINITION YENU MPYA YA UZALENDO?
 
Time will tell..And nakuhakikishia tuombe uzima!
Mchele na Puya vitabainishwa hapa!
 
Back
Top Bottom