Ofcourse anajua anachokifanya!Rabda anataka kumuingiza mwenzie mkenge; Baadae atakuja sema ooh, kwa nini hakufuata sheria na bra bra kibao. Zitto anajua anachokifanya so far so good
1)Ni lini utaidai kutoka kwa Kikwete?Nyie watu msitake nizimie hapa nilipo!
Sasa huyu MKJJ naye si alisema Rais hakuna wa kummuliza?Sasa na yeye anatuchanganya tu hapa!
kuna tofauti kati ya kufanya lolote na kushinikiza lolote lifanyike2)Huwezi kumtaka Zito afanye lolote kuhusu ukamatwaji wa mafisadi?
3)Najua huwezi kufanya kile ninanchotaka ufanyae!
Thats just next to impossible! Iam aware on that..However sijui ni vigezo gani ulivyotumia kuona kwamba eti baada ya mwezi muungwana will do something!
Ofcourse anajua anachokifanya!
Nani kabisha hapo?
OOkay!
Kwa hiyo sasa Kikwete ndio ana ushawishi na wapinzani?
Aliwashawishi vipi wapinzani wakamwacha Zitto ashirikiane na MAFISADI?
Ubunge ni dhamana aliyopewa na wananchi na pia yuko under public scrutiny hapa accordingly! And yes ana ubia na wananchi kwenye ubungeusimvutevute hovyo, jamani watu bwana, sijui arikuja kukuomba ushauli wa kugombea ubunge, maana unasema utadhani una ubia kwenye ubunge wake na unataka umpangie wewe cha kufanya. Viumbe wazito original.
Ubunge ni dhamana aliyopewa na wananchi na pia uko under public scrutiny hapa accordingly!
Politics na jeshi ni tofauti!
Halafu naomba usibadilishe hii mada Marwa!
Maana unataka ku imply kuwa mimi nina issues personal na Zitto!
The answer hapa ni NO!
Zitto kama viongozi wengine atakosolewa!
Nani anajichanganya?kama amepewa na wananchi, sasa unajua kuscrutinise au unatapatapa na kujichanganya.
Nani anajichanganya?
We unataka kuniambia kuwa Rais apondewe Zitto aachwe?
Najua wenye maslahi ni wengi!
Lakini NO INTIMIDATION WILL EVER MAKE ME RETREAT!
Najua wenye maslahi ni wengi!
Lakini NO INTIMIDATION WILL EVER MAKE ME RETREAT!
kubari yaishe tuu, huu sio mtihani kusema utakosa maksi, ni hoja na katika hoja kuna kushinda na kushindwa kutegemeana na hoja yako ina nguvu na iko straight kiasi gani
DU HAYA KWELI MWAFRIKA KWANI WHEN TEMPER CLOUDED YOUR REASONIG IS A DISTROYERWewe kazi yako ya kujikombakomba kwa polisi na kufuatilia wana JF ni mbaya zaidi ya huyo mtenzi wa CUF ambaye hana uwezo wowote wa kufanya kile alichosema wakati wewe unashirikiana na polisi wanaowasakama wana JF.
Snitch mkubwa....
Jmushi, najua ni shida kidogo kwa wewe kukaa chini na kufikiria majibu ya maswali yanayoingia kichwani mwiko kwa mwendo wa kesi. Hivyo nimeona nirudie hapa pamoja na maelekezo ya kukusaidia. Huhitaji kunishukuru.
Nitarudia tena ili angalau ujifunze kujibu maswali badala ya kujibu swali kwa kwa swali.
1. ni nani mwenye mamlaka ya mwisho ya kutoa ripoti ya Kamati ya Madini? (kwenye swali hili unatakiwa kusema ni nani mwenye mamlaka ya mwisho ya kutoa ripoti, wajumbe wa kamati au Rais au mtu yeyote?)
2. Je Zitto ana ushawishi gani kwa Rais hadi Rais amsikilize na kufanya analotaka yeye Zitto? (katika sehemu hii ya swali unatakiwa ueleze ni kwa ushawishi gani Zitto anaweza kumuambia Rais afanye jambo fulani?)
3. Je, Rais asipotaka kutoa ripoti ya Kamati aliyounda hadharani wewe utafanya nini? na Zitto anatakiwa kufanya nini? (Swali hili lina sehemu mbili; a. ueleze ambacho wewe utafanya kama Rais hatotangaza hiyo ripoti hadharani. b. Unafikiri Zitto afanye nini kama Rais hatotangaza ripoti hiyo.)
4. Kamati ya Madini ina wajumbe wengi tu zaidi ya Zitto, kwanini umemkomalia Zitto badala ya Mwenyekiti wa Kamati hiyo Jaji Bomani? (Katika swali hili la mwisho unatakiwa utoe sababu za kwanini Zitto ndiyo atoe habari na kufuatilia suala hili la Kamati na siyo Mwenyekiti wa Kamati hiyo)
Natumaini umeelewa namna ya kujibu hayo maswali kama itakuwa vigumu nitajaribu kurudia tena kwa namna ya taratibu zaidi. Usipoweza kufikiria majibu yake unaweza kuniandikia ili nikutafute maswali zaidi ambayo ni mepesi.
DU HAYA KWELI MWAFRIKA KWANI WHEN TEMPER CLOUDED YOUR REASONIG IS A DISTROYER
Nikubali nini kiishe?kubari yaishe tuu, huu sio mtihani kusema utakosa maksi, ni hoja na katika hoja kuna kushinda na kushindwa kutegemeana na hoja yako ina nguvu na iko straight kiasi gani