Upinzani watangaza mapambano 2008

Upinzani watangaza mapambano 2008

Haya umeyafikiria leo au ndio ulikuwa unafikiria miaka yote hii? Unaweza tu kudai kuwa ccm wabaki na hayo ni mawazo yako na hakuna mtu atakuua for that.

Mhh yale mambo ya kuvaa ngozi ya kondoo kumbe ndani ni mbwa mwitu mkubwa!
Ofcourse yatakuwa mawazo yangu tu!
Kama vile haya yakiwa mawazo yangu!
Kuwa hakuna uwezekano wa mabadiliko kama CCM itakuwa na uwezo wa kuendelea kununua watu kama bidhaa!
 
Mpinzani gani usiyetaka mafisadi wawajibishwe?
Mpinzani gani usiyeona umuhimu wa ripori ya ufisadi wa mali za umma ikitolewa?

Ikitolewa na nani? unaweza kudai kuwa report hii itolewe na waziri wa ulinzi wa Uganda... je hiyo inakufanya kuwa mpinzani wa kweli.

WEwe unadai report itolewe na wrong people ... hiyo haikufanyi wewe mpinzani zaidi ya kitu kingine ambacho bado nakitafutia jina.
 
Ofcourse yatakuwa mawazo yangu tu!
Kama vile haya yakiwa mawazo yangu!
Kuwa hakuna uwezekano wa mabadiliko kama CCM itakuwa na uwezo wa kununua watu kama bidhaa!

Mhh, haya ya kununua watu umeyajua leo? kwa kuwa ccm inanunua watu basi wewe unadai kuwa ccm ibaki? what a shallow argument?!
 
Ikitolewa na nani? unaweza kudai kuwa report hii itolewe na waziri wa ulinzi wa Uganda... je hiyo inakufanya kuwa mpinzani wa kweli.

WEwe unadai report itolewe na wrong people ... hiyo haikufanyi wewe mpinzani zaidi ya kitu kingine ambacho bado nakitafutia jina.

Unajua hapa mimi sipati tabu kwasababu simtetei mtu yoyote personally
Niko on THE PEOPLES SIDE!
Na madai yangu yanaprove hivyo!
We unabadilika badilika mno na wewe ndio unatakiwa kutafutiwa jina "KAMA HICHO KITU KINGINE" Unachodai!

Na kwa taarifa yako sitotukana hapa!
Kwasababu sitaki kufungiwa!
 
Mhh, haya ya kununua watu umeyajua leo? kwa kuwa ccm inanunua watu basi wewe unadai kuwa ccm ibaki? what a shallow argument?!
Kabla hayajaisha ni lazima nijibu hili...
Wewe unaita shallow argument kudai kuwa wapinzani hawanunuliwi na hakuna chenye kutuwezesha kujua vinginevyo unless proven ADAWAIS!

Nani ana shallow argument hapa?
 
Kama kuna ushahidi wa firebrand opposition politicians kuwa na historia ya kununuliwa then how is the argument shallow?
Kama tuna mifano ya kina Marando,Laswai na Kaborou..Then ni mimi ama ni wewe mwenye shallow argument?
 
Katika hili mkuu.... mimi ndiye nina shallow argument kwa "kutoona" kuwa wapinzani wamenunulia before.

Katika hili.... mimi ndiye nina shallow argument kwa vile ninasimamia maoni yangu kuwa mtu wa kuombwa report hii ni Kikwete na sio Zitto.

Katika hili....mimi ndiye nina shallow argument kwa vile nimekataa wazo lako kuwa Zitto atumie ziara yake ya mwaliko wa State Dept kushinikiza serikali ya Marekani kutafuta hatima ya Balali.

Katika hili... mimi niko shallow kwa vile nimetoa a breathing room ya mwezi mmoja ili nijifunze kwa hakika utendaji kazi wa Kikwete.

Naona nikukabidhi kikombe cha kuwa mpinzani bora hapa JF,..... HOngera sana kwa kugundua mengi ambayo hayakujulikana hapa JF. Hongera na kazi njema kwa kudai ni bora ccm wabaki madarakani kwa vile wapinzani wananunuliwa.

Otherwise, Nakutakia kila la heri kwenye juhudi zako za kudai report ya kamati ya madini hapa JF badala ya kuitaka toka kwa Kikwete au Bomani. Nakuahidi kuwa ukiipata nitakuwa wa kwanza "kuisoma" kwa makini yote.

Yatosha kwa leo... so pokea ushindi na uendelee kudai report ya kamati hapa JF toka kwa watu wasiojulikana.
 
Jmushi 107 ......MWK 47 .......... kwenye second overtime!

Hongera mkuu kwa ushindi mnono kwa leo!
 
Katika hili mkuu.... mimi ndiye nina shallow argument kwa "kutoona" kuwa wapinzani wamenunulia before.

Katika hili.... mimi ndiye nina shallow argument kwa vile ninasimamia maoni yangu kuwa mtu wa kuombwa report hii ni Kikwete na sio Zitto.

Sipo kabisa, kuna nini tena hapa? Ripoti ya Kamati ya Madini ya Bomani itatoka hadharani
 
Last edited:
Sipo kabisa, kuna nini tena hapa? Ripoti ya Kamati ya Madini ya Bomani itatoka hadharani

Zitto,

Mimi nina imani kubwa nawe ..... MUNGU wa mbinguni aendelee kukulinda katika hili na mengine yote. Nina imani kuwa hii report hata Kikwete asipoitoa basi Mzee Bomani ataitoa.

Asante kwa kazi muliyofanya!
 
Mh Zitto umesema haupo tena?
Hapa sasa karibu hata ugonjwa wa moyo tutapata?
Kwa hiyo sasa Mh Rais asipoitoa wewe bado hupo kabisa?
 
Zitto,

Mimi nina imani kubwa nawe ..... MUNGU wa mbinguni aendelee kukulinda katika hili na mengine yote. Nina imani kuwa hii report hata Kikwete asipoitoa basi Mzee Bomani ataitoa.

Asante kwa kazi muliyofanya!
Maneno haya ni mazuri!
Na usije kujaribu kufikiri kuwa eti mimi sina imani na Zitto!
Hapa ni ule usemi wa kama umeshawahi kung'atwa na nyoka..then kuguswa na jani unaweza kuruka ukafikiri ni nyoka!
Na ndio maana wewe hujui kuwa mimi nilisukuma gari la Mabere Nyaucho Marando kwa imani kubwa kuwa sasa nchi itabadilika!Kumbe yeye likuwa najali TUMBO YAKE! Yuko wapi?
Wapi Laswai?
Wapi Kaborou?
Hivi hujui kama kweli hawa watu niliowataja hapo juu wangeeendelea kuwa upande wa wazalendo leo hii kusingekuwa na hizi kashfa za ufisadi?
Kwani hujui kuwa overconfidence ya CCM ya kuendelea kuwa mafisadi inatokana na uwezo wao wa kuepenyeza rupia?
Umesahau ile michezo ya utotoni pale unapomkuta mwenzako kafanya jambo baya na yeye anajaribu kukugawia kitu kidogo ili usimsemee?
 
Kwani nani asiyejua kuwa kuna watu wengi tu wanafahamu siri nyingi lakini hazina maana yote yenye kuwasaidia wananchi zaidi ya kubakia tu kuwa wanajua siri?
 
Kama ni siri mbona hata Mzee wa Kiraracha anazo nyingi tu?
 
Na Jaji Joseph Sinde Warioba kama huyo Mark Bomani si wanajua siri nyingi tu?
Ziko wapi?
Na zimemsaidia nani hizo siri wanazozifahamu?
Wananchi wapi hao waliosaidiwa na siri za kamati zilizopita?
Ebu kuweni serious jamani!
 
Back
Top Bottom