murra wa marwa
Senior Member
- Apr 24, 2008
- 150
- 2
Ofcourse yatakuwa mawazo yangu tu!Haya umeyafikiria leo au ndio ulikuwa unafikiria miaka yote hii? Unaweza tu kudai kuwa ccm wabaki na hayo ni mawazo yako na hakuna mtu atakuua for that.
Mhh yale mambo ya kuvaa ngozi ya kondoo kumbe ndani ni mbwa mwitu mkubwa!
Mpinzani gani usiyetaka mafisadi wawajibishwe?
Mpinzani gani usiyeona umuhimu wa ripori ya ufisadi wa mali za umma ikitolewa?
Ofcourse yatakuwa mawazo yangu tu!
Kama vile haya yakiwa mawazo yangu!
Kuwa hakuna uwezekano wa mabadiliko kama CCM itakuwa na uwezo wa kununua watu kama bidhaa!
Ikitolewa na nani? unaweza kudai kuwa report hii itolewe na waziri wa ulinzi wa Uganda... je hiyo inakufanya kuwa mpinzani wa kweli.
WEwe unadai report itolewe na wrong people ... hiyo haikufanyi wewe mpinzani zaidi ya kitu kingine ambacho bado nakitafutia jina.
Nadhani inatosha for a day.
Kabla hayajaisha ni lazima nijibu hili...Mhh, haya ya kununua watu umeyajua leo? kwa kuwa ccm inanunua watu basi wewe unadai kuwa ccm ibaki? what a shallow argument?!
Kama kuna ushahidi wa firebrand opposition politicians kuwa na historia ya kununuliwa then how is the argument shallow?
Kama tuna mifano ya kina Marando,Laswai na Kaborou..Then ni mimi ama ni wewe mwenye shallow argument?
Ushindi ni baada ya ripoti kutoka na si vinginevyo!Jmushi 107 MWK 47 kwenye second overtime!
Hongera mkuu kwa ushindi mnono!
Katika hili mkuu.... mimi ndiye nina shallow argument kwa "kutoona" kuwa wapinzani wamenunulia before.
Katika hili.... mimi ndiye nina shallow argument kwa vile ninasimamia maoni yangu kuwa mtu wa kuombwa report hii ni Kikwete na sio Zitto.
Sipo kabisa, kuna nini tena hapa? Ripoti ya Kamati ya Madini ya Bomani itatoka hadharani
Sipo kabisa, kuna nini tena hapa? Ripoti ya Kamati ya Madini ya Bomani itatoka hadharani
Mh Zitto umesema haupo tena?Katika hili mkuu.... mimi ndiye nina shallow argument kwa "kutoona" kuwa wapinzani wamenunulia before.
Katika hili.... mimi ndiye nina shallow argument kwa vile ninasimamia maoni yangu kuwa mtu wa kuombwa report hii ni Kikwete na sio Zitto.
Sipo kabisa, kuna nini tena hapa? Ripoti ya Kamati ya Madini ya Bomani itatoka hadharani
Hapa sasa karibu hata ugonjwa wa moyo tutapata?
Kwa hiyo sasa Mh Rais asipoitoa wewe bado hupo kabisa?
Maneno haya ni mazuri!Zitto,
Mimi nina imani kubwa nawe ..... MUNGU wa mbinguni aendelee kukulinda katika hili na mengine yote. Nina imani kuwa hii report hata Kikwete asipoitoa basi Mzee Bomani ataitoa.
Asante kwa kazi muliyofanya!