Kuhani
JF-Expert Member
- Apr 2, 2008
- 2,944
- 64
Kama watu ni wasaliti basi wanaitwa kwa jina lao - wasaliti. La sivyo watajua vipi kama wao ni wasaliti?
Inawezekana ni kweli, lakini huwezi kuita watu wasaliti halafu ukarudi kuwaomba kura. Kuna wakati inahitajika diplomasia kidogo katika Siasa.