Yeye Zitto yuko huko wapi? Na wewe uko wapi? Inaonekana na wewe uko karibu na Mushi! Ha ha aaaaaaa.
Nisamehe ndugu, nimeshindwa kujizuia.
Mushi yuko mbali sababu maalum. Pili, hatujui hata kidogo Mushi mchango wake ni nini. Kumbuka wote hatuwezi kuwa Wabunge. Mushi akituma fedha kwao pia ni mchango. Hatuwezi kusema lolote kuhusu mchango wa Mushi.
Pia, Mushi hajaenda kuomba kura watu anao waita wasaliti.
Mushi anafanya nini wakati wapinzani wakizunguka nchi nzima? Huu ni usaliti zaidi ya kina Marando anaowaona kuwa ni wasaliti