Kama watu ni wasaliti basi wanaitwa kwa jina lao - wasaliti. La sivyo watajua vipi kama wao ni wasaliti?
Ungekuwa na nia ya kuhakikisha yaliyotokea kwenye upinzani hayarudiwi basi ungekuwa msitari wa mbele kule Tanzania kupigania watanzania na wapinzani.
Mengine yote hapa ni kelele tu na kupondea wenzako ambao wanafanya kila wanachoweza kujenga demokrasia nchini.
Inawezekana ni kweli, lakini huwezi kuita watu wasaliti halafu ukarudi kuwaomba kura. Kuna wakati inahitajika diplomasia katika kidogo katika Siasa.
Si nimekwambia bado nasoma na nina graduate next year!?Ungekuwa na nia ya kuhakikisha yaliyotokea kwenye upinzani hayarudiwi basi ungekuwa msitari wa mbele kule Tanzania kupigania watanzania na wapinzani.
Mengine yote hapa ni kelele tu na kupondea wenzako ambao wanafanya kila wanachoweza kujenga demokrasia nchini.
Unawaita wale ambao ni wasaliti kuwa ni wasaliti. Angesema kuwa watanzania wote ni wasaliti basi ingekuwa kosa. Lakini kama akiwaita wale wasaliti kuwa ni wasaliti basi hiyo ni halali kabisa kama vile kuwaita ccm kuwa ni mafisadi.
Mgaya, naomba kuuliza tafadhali. Unadhani wote walioko nje ya nchi hawastahili kuchangia mawazo ya Kisiasa au JMushi tu?
Halafu ameshindwa kunijibu kuwa ni viongozi wangapi ambao hawajakaa marekani ama ulaya!Mgaya, naomba kuuliza tafadhali. Unadhani wote walioko nje ya nchi hawastahili kuchangia mawazo ya Kisiasa au JMushi tu?
Wapo katika hao aliowaita wasaliti atarudi kuwaomba kura. Sawa ni sawa?
Halafu ameshindwa kunijibu kuwa ni viongozi wangapi ambao hawajakaa marekani ama ulaya!
Si nimekwambia bado nasoma na nina graduate next year!?
Hivi mbona sasa unataka kuimply kuwa ni personal issues hapa!?
Zitto si alikuwa hapa?!
Sasa unajikomba komba nini wewe?
Watu wote wanastahili kuchangia mambo ya kisiasa bila kujali waliko. Anachofanya Mushi hapa ni kuwaita watu ambao tayari wako kwenye ground wakifanya siasa na kazi ya kupambana na ccm kuwa ni wasaliti na kuwa wamenunuliwa na ccm.
Haya ni mashitaka makubwa sana
Mgaya hayo mashitaka makubwa ndio hayo hayo Zitto kayafanya. Pointi yako inakufunga. Zitto ndio kaita wananchi wasaliti. Ndo maana nikasema hayo matamshi ya Zitto ni sawa na kujinywesha sumu katika jamii ya watu wanao fuatilia vitu. Kumbe hata wewe wajua ni mashitaka makubwa!
Kuna watu wanafaidika na ufisadi ambao watafanya chochote kile Zitto asipate kura zao. Hakuna mtu anayepata asilimia mia moja ya kura. Zitto atapata kura za watanzania makini 95% lakini hizo asilimia tano za wasaliti itabidi zibaki hukohuko ccm kwa mafisadi.
Kiongozi akiomba kura anaomba watu wote. Na akishinda anakuwa kiongozi wa watu wote. Hawezi sema, aaah kuna wasaliti asilimia kadhaa hapa mimi siwa maindi. Inaweza kuwa kejeli.
Zitto ana kila sababu ya kuita watu ambao ni wasaliti kuwa ni wasaliti. Kwanza yeye yupo huko anaendeleza mapigano na anajua kina nani wanasaliti juhudi zake.
Mushi yeye yuko mbali kabisa na uwanja wa mapambano na hajaonyesha kazi yake kwenye mapambano na hana sababu ya kuita wanaopambana kuwa ni wasaliti.
Kati ya Zitto na Mushi, wewe unaona nani anafaa kuitwa msaliti?
Na ndio maana nasema unajikomba!Kama unasoma hiyo ni vizuri sana.
Muda huo, usitukane watu walioko msitari wa mbele kwenye kupambana na ccm wakati wewe bado hujaonyesha unachoweza kufanya.
Nimeshasema kuwa sijamwita Zitto msaliti bado!Watu wote wanastahili kuchangia mambo ya kisiasa bila kujali waliko. Anachofanya Mushi hapa ni kuwaita watu ambao tayari wako kwenye ground wakifanya siasa na kazi ya kupambana na ccm kuwa ni wasaliti na kuwa wamenunuliwa na ccm.
Haya ni mashitaka makubwa sana
Kwahiyo maoni yako ni kuwa kwasababu siko kwenye ulingo wa kisiasa basi nisiseme kina Laswai na Kaborou ni wasaliti?Zitto ana kila sababu ya kuita watu ambao ni wasaliti kuwa ni wasaliti. Kwanza yeye yupo huko anaendeleza mapigano na anajua kina nani wanasaliti juhudi zake.
Mushi yeye yuko mbali kabisa na uwanja wa mapambano na hajaonyesha kazi yake kwenye mapambano na hana sababu ya kuita wanaopambana kuwa ni wasaliti.
Kati ya Zitto na Mushi, wewe unaona nani anafaa kuitwa msaliti?