Upinzani watangaza mapambano 2008

Hakuna anayejali kuwa ana nguvu serikalini or not!
Kwani si anamtetea Kikwete?
Hivi nyie mnafikiri watu ni pumbavu?
Mnakwepa kwepa!
Kwanza we unayesema Balali kafa labda umemficha nyumbani wewe!

Mnakwepakwepa na nani? Hata wewe si unaweza kupata hizo habari zote?

Umemwajiri nani hapa akufanyie kazi hii?
 
Kama hajanuka shombo kuingia kwenye bunge ambalo pia limejaa mafisadi basi it is too late kunuka shombo leo.
Bunge at least linaongozwa na sheria na ni uwakilishi wa wananchi!
KAMATI PIA?
acheni dana dana!
 
Bunge at least linaongozwa na sheria na ni uwakilishi wa wananchi!
KAMATI PIA?
acheni dana dana!

Sheria hizo za bunge ndizo zilimpa nguvu raisi kuunda tume ambayo zitto aliingia. Katika hili wee ndio unacheza danadana!

next....
 
Kwani kukutana na Zitto ndo uspecial?

Ni wewe uliyesema na ulisema ili kutuimpress! Hivi unafikiri ni wewe peke yako ulikutana naye kabla hajawa maarufu?

Kwani hakutoa namba yake wazi hapa JF?

Kwanini atoe namba yake hapa JF ili kiwe nini?

Ningekuwa nataka kujifanya special si ningevuta waya tu?
Naona mnaanza kuingiza hasira na madudu hapa!

Umejifanya special kwa kudai kuwa umekutana na Zitto kabla hajawa maarufu, maana wengine tumemsikia alipoingia Bungeni, sasa mwenzetu una kaujiko ka aina fulani.
 
Halafu ni kivipi asinuke shombo na kulikuwa na mfisadi nadani yakamati?

wewe unawekuwa wanuka zaidi kwa sababu hata kujaribu kugombea ubunge hukujaribu,wewe ni mbaya zaidi ya zitto anayaweza kusimama mbere yetu tunamwona kwa macho na kumpa kura. Wewe ni fisadi kwa sababu hujachukua hatua yoyote kuwaongerea mafisadi hadharani, maswari UNATAKA ujibiwe na hata ujasiri wa kutoa jina halisi huna.
 
sasa wenzio wanapojikomba, hawajikombi hivi!! yaani unauma halafu unapuliza!? kwikwikwi!
Sina shida kihivyo MKJJ naona hujui hilo!
Sijikombi!
Ningetaka kufanya hivyo ningeweza!
Nimeshakwambia mimi sina haja ya kujikomba!
Namba ya simu si ilikuwa wazi hapa JF?
 
Hakuna anayejali kuwa ana nguvu serikalini or not!

Sasa mbona unauliza vitu kana kwamba ana nguvu ya aina fulani?

Kwani si anamtetea Kikwete?
wapi, lini, na kwa namna gani?

Hivi nyie mnafikiri watu ni pumbavu?
pumbavu is as pumbavu does.. sasa hili la upumbavu limetoka wapi?

Mnakwepa kwepa!
Kwanza we unayesema Balali kafa labda umemficha nyumbani wewe!

Umeshindwa ya Zitto unaanza ya Balali na matanga yake! ?
 
Mura jina langu ni halisi mkuu wa Marwa!
 
Hivi kukutana na zitto kabla ya kuwa mbunge na kukutana na Zitto akiwa mwanafunzi ama kutokukutana nae kabisa ila unamsikia na kumsoma kumamfanya mtu kuwa wa tofauti?

Zitto ninajua kuwa ni mtu ambaye anaweza kukutana na mtu yeyote na wala umaarufu wake sio issue kwake kwani huwa kila wakati yupo kama zamani na ni mtu wa watu wa aina zote.

Mjadal;a usiwe kukutana naye ama kutokukutana naye ila uwe ni kuhusu msimamo wake juu ya rasilimali za taifa hili. JMUSHI UPO.
 
Sina shida kihivyo MKJJ naona hujui hilo!
Sijikombi!
Ningetaka kufanya hivyo ningeweza!
Nimeshakwambia mimi sina haja ya kujikomba!
Namba ya simu si ilikuwa wazi hapa JF?

ungefanya ramaana kumpigia, urikuwa unamwereza hapa iri tujue unaconfidence ya kumwataki mheshimiwa, hata private message ungerimwachia angekujibu naamini.
 
I hope not

kwa hiyo unaweza kujikomba!

Lakini una uwezo wa kujikomba ni suala la kutaka tu...

wapi hapo?

Hivi MKJJ unataka kusabotage hii conversation?
Je una nia na agenda ya siri?
Ama na wewe umeshapewa mafao ya Kifisadi kupitia kwa mjumbe wake Zitto?
We unafikiri everybody is like that huh?
 
ungefanya ramaana kumpigia, urikuwa unamwereza hapa iri tujue unaconfidence ya kumwataki mheshimiwa, hata private message ungerimwachia angekujibu naamini.

MJKK si anajifanya kichaa na kusema namba haikuwa hapa!
Then lets just assume haikuwa maana naona wanacheza gere!
 
Hivi MKJJ unataka kusabotage hii conversation?
Je una nia na agenda ya siri?
Ama na wewe umeshapewa mafao ya Kifisadi kupitia kwa mjumbe wake Zitto? We unafiri everybody is like that huh?

Bado nasubiria maswali yako....

Umeishiwa maswali "makini" au?
 
Mhhh..

kujifanya kichaa tena?!!?!

Si nimemwambia namba ya Zitto iliwekwa wazi hapa na yeye anabisha?
Sasa mi nilitaka kumwambia kuwa sijikombi na i will never do that! Ningetaka kufanya hivyo ningeweza!
 
Hivi MKJJ unataka kusabotage hii conversation?
Je una nia na agenda ya siri?
Ama na wewe umeshapewa mafao ya Kifisadi kupitia kwa mjumbe wake Zitto?
We unafikiri everybody is like that huh?

hahahaha r u getting a little angrier eh..?
 
ungefanya ramaana kumpigia, urikuwa unamwereza hapa iri tujue unaconfidence ya kumwataki mheshimiwa, hata private message ungerimwachia angekujibu naamini.

wewe ndio kichaa kwa kumwataki muheshimiwa pasina sababu ya maana. Unaandika tu hujari kujaza maneno yasiyo na maana, hukusoma kichwa cha habari hapa. Nia yako irikuwa kusabotage na kustopisha mashaburizi na kwenda kwa bwana shy. Wewe na shy mna agenda moja labuda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…