Nani anayekamata wahalifu nchini, Kikwete?
Kwa hiyo na wewe poa unaamnini kuwa nani aje huku kumkamata Balali?
Au kwasababu na wewe unataka tuamini kuwa KAFA?
Kuwa upande wa Kikwete aliyekataa kuwakamata mafisadi kwa visingizio visivyo na kichwa wala miguu!
Alisema lini haya? Huu uswahiba wa Kikwete na Zitto umeanza lini???!!??!!!
Si anasema tutoe muda tu kila siku kwa swaiba wake kuhusiana na ripoti ya kamati ya madini?
Na wewe si umeshaweka hilo wazi?
Sasa hapa nani anamchanganya nani?
Visingizio kwamba uchunguzi unaendelea huku watuhumiwa wakiwa hawakamatwi wala kuhojiwa?ni visingizio gani hivyo, vilitolewa lini na wapi? au tukubali tu kwa vile wewe umesema?
Si toka alipomweka kwenye kamati ya madini pamoja na baadhi ya watuhumiwa wa ufisadi?
Visingizio kwamba uchunguzi unaendelea huku watuhumiwa wakiwa hawakamatwi wala kuhojiwa?
Kwamba eti wakimtaka Balali watampata!?
Visingizio kwamba uchunguzi unaendelea huku watuhumiwa wakiwa hawakamatwi wala kuhojiwa?
Kwamba eti wakimtaka Balali watampata!?
Zitto wewe na Mwafrika wa kike si ndio mnasema tuwape muda?hayo yalisemwa na Zitto au na nani? na kwanini usimuulize aliyesema badala ya kumuuliza Zitto?
Zitto wewe na Mwafrika wa kike si ndio mnasema tuwape muda?
Umesahahu the slogan kuwa no more KIKWETE BASHING for at least a month?Aliyetoa visingizio ni Zitto au ni nani?
Umesahahu the slogan kuwa no more KIKWETE BASHING for at least a month?
Umesahau maneno yako kule kwenye kamati ya madini kuwa wapewe muda zaidi ya ambao sasa umesha pita mara mbili ya ule waliopewa wa awali wa miezi mitatu?
Hivi kweli Mwafrika wa Kike haya maswali yanatoka kwako?Je wewe unajua kama Balali yuko hai au amekufa?
Kama unajua kuwa Balali yuko hai mbona hujamkamata?
Zitto wewe na Mwafrika wa kike si ndio mnasema tuwape muda?
Hivi kweli Mwafrika wa Kike haya maswali yanatoka kwako?
Si naona sasa!
KUMBE NA WEWE NI MMOJA WAPO WA WALE WANAOTAKA KUENEZA PROPAGANDA KUWA BALALI KAFA?
una uhakika?
Nimeshaweka wazi kuwa hapa marekani kama mtu akifa si SIRI!kama hajafa yuko wapi na unaushahidi gani kuwa yuko hai? au tuamini kwa vile wewe umesema?
Umesahahu the slogan kuwa no more KIKWETE BASHING for at least a month?
Umesahau maneno yako kule kwenye kamati ya madini kuwa wapewe muda zaidi ya ambao sasa umesha pita mara mbili ya ule waliopewa wa awali wa miezi mitatu?
Very postive!
Nenda kwenye ile thread aliyoanzisha mwafrika wa kike kuwa sasa hataki Kikwete azungumziwe kwa ubaya!