Upinzania Tanzania ujitafakari

Upinzania Tanzania ujitafakari

Nchi yenye upinzani thabiti ni imara , na nchi ikikosa upinzani madhubuti italegea. Wapinzani wa Tanzania wamekua legelege sana, Nasema haya kwa sababu hizi:-

1.Wamekua wamatukio zaidi kuliko hoja
Leo umeme ukikatika wataongea kuhusu umeme week moja, baada ya hapo ikitokea vita Israel na Palestine ,watarukia habari hizo mpaka zikose mvuto. Hapa kama watanzania upinzani wa namna hii unatukosea.

Tunataka tuone mnachukua hoja moja mpaka mwisho , hawa wapinzani wa sasa hivi ,leo watadai katiba kesho Nape akiongelea VPN hao wanahama wanaanza kutukana , kesho kutwa moto Kariakoo haooo.
Yaan hawana consistency .Badirikeni 2025 mtahangaika sana.

2.Uongozi wao una migogoro mingi sana
Kumeibuka migogoro isiyoisha ndani ya vyama vya upinzani,mfano NCCR mpaka sasa wana gombana
Chadema kuna shida kubwa sana ya uongozi wa juu ambayo inafungwa fungwa , ACT Zitto ana wamanage kidogo vijana wake.

Tatueni shida za ndani ya vyama vyenu ili muingie mtaani kama kitu kimoja, Inaumiza sana kuona vijana wadogo kama akina Lema ,Sugu ,Mnyika wapo kimya kiasi hiki ,wanasubiri uchaguzi waanze harakati .Kipindi cha JPM kuna la kusingizia kwamba mlikatazwa mikutano ,sasa mnasingizia nini?

Miezi miwili mlizunguka kanda zote kwa sababu mlikua mnahubiri mambo ya bandari na katiba mpya ,sijui mmeishia wapi, mpo kimya , polisi hawawazuii ,wananchi wapo ,majukwaa yapo ,shida nini?

3.Viongozi wenu ni wahuni
Hili nalisema kwa uchungu sana , viongozi wengi wa upinzani ni wahuni wa madaraka.
Utasikia wanawahukumu Covid 19 ,hawa ni chadema ,kuwa walijipeleka bungeni how?
katika wabunge hao wana mama 19 wabunge karibu 7 ni maahawala na wake wa viongozi wakubwa ,Benson Kigaila mke wake kabisa ni mbunge wa viti maalumu, how comes?

Mnatuaminisha hamjui? Naibu katibu mkuu Salumu mwalimu ana mchumba wake aliyezaa naye ni mbuge wa viti maalumu,mnatuumiza sana wananchi na wananchama, tuwaelewe vipi?

Kaeni chini msameheane yaishe muanze upya .Watanzania wapo,majukwaa yapo njoeni na agenda safi watanzania watawapokea, CCM bila upinzani mizania itayumba , Upinzani imara unahitajika
Watanzania siye ni watu wa malalamiko. Mtu yakiitwa maandamano haendi, mikutano haendi, yani zaidi ya kulalama jf hakuna hatua anayochukua halafu anategemea vyama pinzani viwe na uwezo wa kuleta mabadiliko.
Nguvu ya vyama pinzani iko backed up na raia. Bila raia hakuna hiyo nguvu
 
Katika MAISHA Hakuna Mtu ambaye yupo kwa ajili yako au ambaye anabidi kuhakikisha hoja zako zinasikilizwa

Wewe ukiwa unahisi unaonewa unaweza kuandamana au kufanya press conference kupinga Jambo lolote .

Usiwe Mtu wa kulalamika utakufa Mapema kabla hata Ya Ahsubui ya leo
Naunga mkono hoja 👍👏
 
Watanzania siye ni watu wa malalamiko. Mtu yakiitwa maandamano haendi, mikutano haendi, yani zaidi ya kulalama jf hakuna hatua anayochukua halafu anategemea vyama pinzani viwe na uwezo wa kuleta mabadiliko.
Nguvu ya vyama pinzani iko backed up na raia. Bila raia hakuna hiyo nguvu
ni jukumu la uongozi wa upinzani kushawishi watu waandamane au waende kwenye mikutano
Kama hawana ushawishi hawawez kupata watu
CUF iliweza kushawishi ndio maana walikua wanaandamana
CHADEMA ya 2010 ya akina Slaa ilikua na ushawishi
Ya sasa ni inajiendea tu
 
Nchi yenye upinzani thabiti ni imara , na nchi ikikosa upinzani madhubuti italegea. Wapinzani wa Tanzania wamekua legelege sana, Nasema haya kwa sababu hizi:-

1.Wamekua wamatukio zaidi kuliko hoja
Leo umeme ukikatika wataongea kuhusu umeme week moja, baada ya hapo ikitokea vita Israel na Palestine ,watarukia habari hizo mpaka zikose mvuto. Hapa kama watanzania upinzani wa namna hii unatukosea.

Tunataka tuone mnachukua hoja moja mpaka mwisho , hawa wapinzani wa sasa hivi ,leo watadai katiba kesho Nape akiongelea VPN hao wanahama wanaanza kutukana , kesho kutwa moto Kariakoo haooo.
Yaan hawana consistency .Badirikeni 2025 mtahangaika sana.

2.Uongozi wao una migogoro mingi sana
Kumeibuka migogoro isiyoisha ndani ya vyama vya upinzani,mfano NCCR mpaka sasa wana gombana
Chadema kuna shida kubwa sana ya uongozi wa juu ambayo inafungwa fungwa , ACT Zitto ana wamanage kidogo vijana wake.

Tatueni shida za ndani ya vyama vyenu ili muingie mtaani kama kitu kimoja, Inaumiza sana kuona vijana wadogo kama akina Lema ,Sugu ,Mnyika wapo kimya kiasi hiki ,wanasubiri uchaguzi waanze harakati .Kipindi cha JPM kuna la kusingizia kwamba mlikatazwa mikutano ,sasa mnasingizia nini?

Miezi miwili mlizunguka kanda zote kwa sababu mlikua mnahubiri mambo ya bandari na katiba mpya ,sijui mmeishia wapi, mpo kimya , polisi hawawazuii ,wananchi wapo ,majukwaa yapo ,shida nini?

3.Viongozi wenu ni wahuni
Hili nalisema kwa uchungu sana , viongozi wengi wa upinzani ni wahuni wa madaraka.
Utasikia wanawahukumu Covid 19 ,hawa ni chadema ,kuwa walijipeleka bungeni how?
katika wabunge hao wana mama 19 wabunge karibu 7 ni maahawala na wake wa viongozi wakubwa ,Benson Kigaila mke wake kabisa ni mbunge wa viti maalumu, how comes?

Mnatuaminisha hamjui? Naibu katibu mkuu Salumu mwalimu ana mchumba wake aliyezaa naye ni mbuge wa viti maalumu,mnatuumiza sana wananchi na wananchama, tuwaelewe vipi?

Kaeni chini msameheane yaishe muanze upya .Watanzania wapo,majukwaa yapo njoeni na agenda safi watanzania watawapokea, CCM bila upinzani mizania itayumba , Upinzani imara unahitajika
Mkuu anzisha chama kifanye upinzani uitakao. Ww ni wale bendera fuata upepo huko ccm, ukisikia propaganda unaibeba na kuja nayo huku jukwaani kujifanya unaianzishia mada.

Kama Kuna chama Cha kipuuzi nchi hii basi ni hiyo ccm. Kabla ya 2015 ccm walikuwa wanatuimbisha kama watoto wadogo kuhusu uchumi wa gas. Huko kulikuwa na mapambio yote Hadi kuuza umeme nje. Na tatizo la kukatika umeme tuliambiwa gas ikifika Dar itakuwa historia. Na tatizo la umeme wa maji ni mabadiliko ya tabia nchi. Kaingia Magufuli kawekeza kwenye bwawa la maji, hapa hapakuwa na kelele za mabadiliko ya tabia nchi tena Bali ni porojo tupu na mapambio kwa kwenda mbele. Kwanini msingesimama na umeme wa gas kama sio warukio matukio?

Hiyo 2025 Kuna lipi jipya, maana kama ni kuwashinda wapinzani kwa kura halali hilo lilishashindikana, jiandaeni kupora tu uchaguzi maana hata mvuto kwa kizazi hiki hamna.
 
Nchi yenye upinzani thabiti ni imara , na nchi ikikosa upinzani madhubuti italegea. Wapinzani wa Tanzania wamekua legelege sana, Nasema haya kwa sababu hizi:-

1.Wamekua wamatukio zaidi kuliko hoja
Leo umeme ukikatika wataongea kuhusu umeme week moja, baada ya hapo ikitokea vita Israel na Palestine ,watarukia habari hizo mpaka zikose mvuto. Hapa kama watanzania upinzani wa namna hii unatukosea.

Tunataka tuone mnachukua hoja moja mpaka mwisho , hawa wapinzani wa sasa hivi ,leo watadai katiba kesho Nape akiongelea VPN hao wanahama wanaanza kutukana , kesho kutwa moto Kariakoo haooo.
Yaan hawana consistency .Badirikeni 2025 mtahangaika sana.

2.Uongozi wao una migogoro mingi sana
Kumeibuka migogoro isiyoisha ndani ya vyama vya upinzani,mfano NCCR mpaka sasa wana gombana
Chadema kuna shida kubwa sana ya uongozi wa juu ambayo inafungwa fungwa , ACT Zitto ana wamanage kidogo vijana wake.

Tatueni shida za ndani ya vyama vyenu ili muingie mtaani kama kitu kimoja, Inaumiza sana kuona vijana wadogo kama akina Lema ,Sugu ,Mnyika wapo kimya kiasi hiki ,wanasubiri uchaguzi waanze harakati .Kipindi cha JPM kuna la kusingizia kwamba mlikatazwa mikutano ,sasa mnasingizia nini?

Miezi miwili mlizunguka kanda zote kwa sababu mlikua mnahubiri mambo ya bandari na katiba mpya ,sijui mmeishia wapi, mpo kimya , polisi hawawazuii ,wananchi wapo ,majukwaa yapo ,shida nini?

3.Viongozi wenu ni wahuni
Hili nalisema kwa uchungu sana , viongozi wengi wa upinzani ni wahuni wa madaraka.
Utasikia wanawahukumu Covid 19 ,hawa ni chadema ,kuwa walijipeleka bungeni how?
katika wabunge hao wana mama 19 wabunge karibu 7 ni maahawala na wake wa viongozi wakubwa ,Benson Kigaila mke wake kabisa ni mbunge wa viti maalumu, how comes?

Mnatuaminisha hamjui? Naibu katibu mkuu Salumu mwalimu ana mchumba wake aliyezaa naye ni mbuge wa viti maalumu,mnatuumiza sana wananchi na wananchama, tuwaelewe vipi?

Kaeni chini msameheane yaishe muanze upya .Watanzania wapo,majukwaa yapo njoeni na agenda safi watanzania watawapokea, CCM bila upinzani mizania itayumba , Upinzani imara unahitajika

Endelea na CCM yako kwani shida ni Nini?. Bungeni mmejaza wabunge wa CCM, madiwani wa CCM halmashauri zote na wenyeviti wa vijiji na Miata CCM ila bado hutosheki, umekazania ya upinzani.
 
Wewe endelea kupiga kelele wakati huku urais kapewa mto wa karume na mwinyi. Mtoto wa Kikwete Naibu Waziri na mtoto wa Makamba Rais. Tatizo lako CCM yenye mamlaka unailamba matako imebakia kuishtumu CHADEMA isiyokuwa na mamlaka yeyote.
 
Ukimwondoa Mchungaji Christopher Mtikila na Chama chake cha D.P. yaani Democratic Party.

Binafsi naona Wapinzani Wengi wa hapa Nchini wapo kwenye vyama kwa ajiri ya Vyeo na Ruzuku tu.

Kama Wapinzani wa hii nchi wangekuwa serious na kuleta mageuzi ya Kisiasa wangesha chukua Nchi.

Jambo hilo limepunguza sana idadi ya wapiga kura. Wengi wanaopiga kura wanapigia maslahi ya uwanachama wa Chama.

Kama Baba Nyumbani ni CUF Basi familia inaipigia kura CUF, ili kukidhi haja za Baba.

Wanachi wengi wanaojiandikisha kupiga kura wanataka vitambulisho vya kujitambulisha ukichukulia uwezo hafifu wa NIDA kutoa vitambulisho vya kitaifa.

Punguza unafiki, wakati akina Mbowe wanaharibiwa vitega uchumi au kufunguliwa kesi za ugaidi ulikuwepo?. Lissu kalimwa risasi kapona serikali ipo kimya. Wapinzani wanapitia masahibu mengi, ila kwa unafiki wako wewe unaona kawaida kwa sababu hauguswi na lolote.
 
Uzi makini sana huu. Ila sikubaliani na wewe unavyosema wapinzani wamekosa hoja na agenda. Hapana. Kwa sasa sera yao waliyochagua kama mwelekeo wao mpya ni kupinga kila kitu kwa hoja za matusi. Nahisi kuna maelekezo waliyopeana kwamba kwa sasa tupinge kila kitu na kutukana yeyote atakayekuwa kinyume na sisi. Msigwa ni mhanga wa matusi ya wenzake.
 
Hatuna upinzani Tanzania, tuna upuuzi na ujinga tu over. Viongozi wengi wa upinzani hawajielewi! Akili zao ziko matumboni mwao.

Wewe ndio mpuuuzi. Maana unasema vitu bila kufikiri. Mbowe alikuwa na kesi ya ugaidi mkawa mnamfnyia dhihaka na kuombea anyongwe , huku Lissu kalimwa risasi mkafanya sherehe. Sasa mmebaki kuropoka hakuna upinzani, nenda wewe kama utadumu hata kwa wiki moja. Kuongea unaweza ila matendo huwezi.
 
ni jukumu la uongozi wa upinzani kushawishi watu waandamane au waende kwenye mikutano
Kama hawana ushawishi hawawez kupata watu
CUF iliweza kushawishi ndio maana walikua wanaandamana
CHADEMA ya 2010 ya akina Slaa ilikua na ushawishi
Ya sasa ni inajiendea tu

Usiongee mambo kwa kujifanya hujui. Upinzani ulizuiwa kufanya siasa kwa kipindi Cha miaka mitano na bado uchaguzi ulipofika serikali ikapoka uchaguzi na kupeleka CCM. Umesahau mtandao ulikatwa kwa wiki nzima kipindi Cha uchaguzi?. Usiongee kisa upinzani hauna jeshi Wala polisi, ndio maana unadharau.
 
Hizo hoja unazozitaka wapinzani waziongee mpaka mwisho ni hoja gani hizo?.Kwasababu ratiba ya chadema kupita sehemu mbalimbali ipo na inaendelea.Sio lazima wafanye kwa muda unaoutaka wewe.Lakini pia hizo hoja unataka wazioongee hadi wapi wakati tatizo ni udhaifu wa serikali iliyoko madarakani.Umetoa mfano wa swala la umeme,hebu tuambie unataka waliongelee hadi mwisho wapi angako wewe utaridhika?.Kwasababu mwisho wa swala la umeme ni kupatikana kwa umeme jambo ambalo mkuu wa nchi ameshatoa taarifa nayeye ndiye mmikiki wa tanesco.Au ulitaka wapinzani wajigeuze mabwawa yakuzalisha umeme.Mkiambiwa muandamane mnajifungia makwenu uku mkitoa maneno yakijinga kwamba mnataka na mke wa mbowe atangulie mbele kwenye maandamano mtafikiri mmeambiwa na mke wa mbowe naye ni mpinzani.Unaotakiwa uwalaumu ni walioko serikalini.upinzani unatimiza wajibu wake vinginevyo labla kama unamawazo mengine yakuharibu ambayo unayaona hayafanyiki unataka kuwasakizia wapinzani uku wewe umejifungia kwako.
 
Watanzania siye ni watu wa malalamiko. Mtu yakiitwa maandamano haendi, mikutano haendi, yani zaidi ya kulalama jf hakuna hatua anayochukua halafu anategemea vyama pinzani viwe na uwezo wa kuleta mabadiliko.
Nguvu ya vyama pinzani iko backed up na raia. Bila raia hakuna hiyo nguvu
Wanasubiri kufanyiwa.hapo alipo ukimuuliza yeye kama raia amechukua hatua gani anaweza asiwe na majibu,kazi kulalamikia wengine.
 
Hili ni jibu la mtu aliyeshindwa kujibu hoja mezani [emoji23]
Jibu liko sahihi kwasababu ata walioanzisha hivi vyama mnavyovishutumu sasa waliona mambo hayaendi sawasawa wakaamua kuja na chama mbadala.kwahiyo badala yakulalamikia wengine kua hawafanyi au hawatoshi kwenye hiyo nafasi ya upinzani anaweza kuichukua yeye ili azibe hayo mapungufu.
 
Back
Top Bottom