[emoji38][emoji38][emoji38]kumbe kitambo uwanja wako wa nyumbaniEnzi hizo nlikuwa naishi Dodoma INN So hapoilikuwa seblen
In favour of???
Wanaume wa Dar are very stupid. Unafurahi kunywa bia za mwanaume mwenzako mkuu. Subiri ulewe ukazibue hilo tundu.Daah kuna mahali nimekuja kupiga bia mbili kajitokeza jamaa kumbe laini yake ya halotel imejiblock kumbe ile kadi anayo nika unlock kaniona kama genious flani anatandika bia balaa yan hapa sitoki ananiita usalama wa taifa yan mtaani kuna wapumbavu wengi sanaa yan umuhimu wa elimu nauona hapa aisew kumbe mtaani kuna watu hawajui kusoma na kuandika kweli ccm mbele kwa mbele
[emoji2958][emoji2958][emoji2958][emoji57][emoji57][emoji57]Safi sana tena akunyooshee si unajidai mjanja eeh[emoji23]
ila Ilazo imejengeka sio mchezo, last time nimekuja nilitamani ningekua na eneo maeneo hayo
[emoji41][emoji41][emoji41]Mkuuu [emoji23][emoji23][emoji23]tuishie hapo
Hivi hiyo profile ni wewe huyo mkuu?😃😃😃[emoji2958][emoji2958][emoji2958][emoji57][emoji57][emoji57]
Saaana walikuwa na live band kila ijumaa weekends na Four ways[emoji38][emoji38][emoji38]kumbe kitambo uwanja wako wa nyumbani
matak* umeua[emoji16][emoji16][emoji16]Daah kuna mahali nimekuja kupiga bia mbili kajitokeza jamaa kumbe laini yake ya halotel imejiblock kumbe ile kadi anayo nika unlock kaniona kama genious flani anatandika bia balaa yan hapa sitoki ananiita usalama wa taifa yan mtaani kuna wapumbavu wengi sanaa yan umuhimu wa elimu nauona hapa aisew kumbe mtaani kuna watu hawajui kusoma na kuandika kweli ccm mbele kwa mbele
Senge lite? Ni kinywaji kipya mkuu?
Labda wimbi la 3.....Isije ikawa CORONA; maana haiendani na senge lite!
Ndio[emoji34][emoji34][emoji34] kwani nini[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]Hivi hiyo profile ni wewe huyo mkuu?[emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji28][emoji28][emoji28] acheni madharauSERENGETI LITE; watoto wa mjini wanaiita senge lite!!!
[emoji28][emoji28][emoji28]Labda wimbi la 3.....
Mkuu kila sehemu upo. Inaonesha upo single.Hivi hiyo profile ni wewe huyo mkuu?[emoji2][emoji2][emoji2]
Mrina ya manzese si kuna bar imeungua.mitaa hio[emoji851][emoji851][emoji851]Nipo pub inferno ila nataka nichukue boda nihamie mrina annex nikakeshe
Zama PM MKUUMkuu kila sehemu upo. Inaonesha upo single.
Hii ni chugastan kiburudaniMrina ya manzese si kuna bar imeungua.mitaa hio[emoji851][emoji851][emoji851]
Nakufahamu mkuuNdio[emoji34][emoji34][emoji34] kwani nini[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]