Upo Kiwanja gani Jumamosi ya leo 12.06.2021

Upo Kiwanja gani Jumamosi ya leo 12.06.2021

Totoz za KIU zpo hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na yume Jibril pia anahudhuria hapo kumbuka
IMG-20210612-WA0017.jpg
 
Duh, mi siku ilitaka kuanza vibaya nimeamkia hospitals ila Dr. Kanipa dawa kaniambia naweza kuanza hata jumatatu nimezihifadhi sehemu nipo kwenye kaglosari mtaaani napiga Kilimanjaro ndogo bariiidi.

Nipe chimbo ulilopo hata kama Kanisani sawa ila tujulishe ulipo kama pamekucha saaana kama kuna [emoji1891][emoji2585][emoji1352][emoji1350] tuambie,

Tualike aisee leo nipo mobile saaana yaana haka ka VITZ[emoji594] geji unasimea juu ya nusu tanki[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Nipe update za kila tukio hapo ulipo hata kama maombi[emoji1317][emoji1317][emoji1317] poa tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Twende kazi mabaharia na Queens

Uzi tayariView attachment 1816282

Updates nimevamia sherehe ya watu hata siwaji.hapa JC HALL Africana

View attachment 1816593
Hizi zinakuwaga sehemu za madereva wa vigari vidogo vinavyopiga towntrip i.e probox kwa mikoa ya kigoma, kagera, simiyu na mingine inayofanana na hiyo. Ikifika mida ya saa mbili utakuta wamevipaki mbele ya glosary utadhani kuna maandamano.
 
Kigoma Probox inapendwa kuliko Noah au.MarkX
 
Back
Top Bottom