Upo Kiwanja gani Jumamosi ya leo 12.06.2021

Upo Kiwanja gani Jumamosi ya leo 12.06.2021

Duh, mi siku ilitaka kuanza vibaya nimeamkia hospitals ila Dr. Kanipa dawa kaniambia naweza kuanza hata jumatatu nimezihifadhi sehemu nipo kwenye kaglosari mtaaani napiga Kilimanjaro ndogo bariiidi.

Nipe chimbo ulilopo hata kama Kanisani sawa ila tujulishe ulipo kama pamekucha saaana kama kuna [emoji1891][emoji2585][emoji1352][emoji1350] tuambie,

Tualike aisee leo nipo mobile saaana yaana haka ka VITZ[emoji594] geji unasimea juu ya nusu tanki[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Nipe update za kila tukio hapo ulipo hata kama maombi[emoji1317][emoji1317][emoji1317] poa tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Twende kazi mabaharia na Queens

Uzi tayariView attachment 1816282


Updates nimevamia sherehe ya watu hata siwaji.hapa JC HALL Africana

View attachment 1816593
Najiandaa kuelekea The Hub Arusha baada ya mechi hii ya Belgium kuisha
 
Back
Top Bottom