Upo Kiwanja gani Jumamosi ya leo 12.06.2021

Upo Kiwanja gani Jumamosi ya leo 12.06.2021

Mimi badoo na tagged natafuta milupo
[emoji851][emoji851][emoji851]
IMG-20210612-WA0017.jpg
 
Sikuhiz sitok kabisa sjui kwann...nafeel raha kubak nyumban aisee...hata madem zangu wanapenda kuja home kuliko tutoke yan..sjui kwann

So hata pombe nmeamua niwe nazijaza tu nyumban na,nachoma nyama.movies.sex etc etc..safi kabisa
 
Hiv kuna watu in real life huwa wanafanya hiv kumbe.?hahaha..nmecheka sana
Kwanini kwani kuna kitu unaogopa saaana this is life asee mtu asikutishe sijawahi kumtukana Samia wala IGO wala MABEYO ila RC hawanitishi
 
Sikuhiz sitok kabisa sjui kwann...nafeel raha kubak nyumban aisee...hata madem zangu wanapenda kuja home kuliko tutoke yan..sjui kwann

So hata pombe nmeamua niwe nazijaza tu nyumban na,nachoma nyama.movies.sex etc etc..safi kabisa
"Madem zangu"

[emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313]
IMG-20210612-WA0017.jpg
 
Back
Top Bottom