Upo kiwanja gani ( Sehemu ya burudani shangwe ) mwana JF

Upo kiwanja gani ( Sehemu ya burudani shangwe ) mwana JF

Kibwagizo hichoooooh chaliiiiiih, hebu kaaaah kwa kutulia. Waleleeeeeeeeeeeeeeeeeh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Leo ntakuwepo sinza board room... Nataka nikasahahu kidogo Shida.
 
IMG_5829.jpg



HIki Kiwanja Kiko Wapi Wazee
 
Hapo Mpitimbi Mission kuna Grocery Moja ipo karibu na Hospital ndio raia wanapiga maji mpaka saa 7 usiku.
Uwiiiiiiiiiih sema me nliondoka muda kidogo huko, hiyo grocery sijaijua hata, ila ntauliza nimjue mmliki wake. Uwiiiiiiih
 
now nipo ndani ya cape town Dodoma.

mwana JF aliyepo hapa muda huu tuonane nina kreti ya serenget light..... na asubuh narudi DSM. Anayetaka lift
 
Back
Top Bottom