torvic
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 3,978
- 9,841
nanjilinji mshkaji wangu? naomba address nije kukutembeleaKaribu nanjilinji mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nanjilinji mshkaji wangu? naomba address nije kukutembeleaKaribu nanjilinji mkuu
anatutibua hisia kweli kweli, ujue mbongo kusikia mwenzake yupo mamtoni ana data kwa mudaUnatibua hisia za watu [emoji23]
Dar ipi maana hapa Tanzania kunaHabari wadau,
JF member ebu sema ni mkoa gani unapatikana kwa sasa labda upo hapo kikazi au labda ndio umezaliwa hapo na kukulia hapo au labda upo hapo kwa kusafisha macho kwa muda tu!
Mimi kwasasa nipo dar hapa nimekuja kumsalimu bro wangu, nakata matonge ya bure mwezi wa nne huu sasa! nikaribisheni Dar jamani,
nipo dar es salaam, mzee jiji la lawamaDar ipi maana hapa Tanzania kuna
Dar es Salaam na Dareda ile ya Babati zote ni Dar.
Chief uko chini ya ulinzi wa watekaji au upo huru?Karibu misemere Burundi
Nipo huru mkuu, karibu rule maparachichiChief uko chini ya ulinzi wa watekaji au upo huru?
Hayo kula tuu mzee nishawahi katiza hapo vitu nilivyoviskia nikajua naangalia movie ya ramboNipo huru mkuu, karibu rule maparachichi
Hahahaa sasa hivi huku amani sana karibu rule rahaHayo kula tuu mzee nishawahi katiza hapo vitu nilivyoviskia nikajua naangalia movie ya rambo
Hahahaaaaa. Hivyo niko wapi mdogo wangu?Yaani wewe haupo mtwara sister!
Ungekuwa mtwara usingetumia neno "huko" badala yake ungetumia neno "huku"
kwa hali hiyo basi umedanganya jukwaa!
sifahamu ulipo lakini lazima uelewe kuwa kama upo mtwara basi upo nje ya Eneo husika ulilotaja au haupo kabisa mkoa husika!Hahahaaaaa. Hivyo niko wapi mdogo wangu?
Kama ni mdada toa namba zakoHabari wadau,
JF member ebu sema ni mkoa gani unapatikana kwa sasa labda upo hapo kikazi au labda ndio umezaliwa hapo na kukulia hapo au labda upo hapo kwa kusafisha macho kwa muda tu!
Mimi kwasasa nipo dar hapa nimekuja kumsalimu bro wangu, nakata matonge ya bure mwezi wa nne huu sasa! nikaribisheni Dar jamani,
Nipo safariniHabari wadau,

Wooow!...umeonaje hiyo greenish? Pana chezea!
That's my hommie!
Diamond alivogawa mitaji umepata?Kwamtogole, Dar