Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka nilichelewa mimi nilikuwa kwa wakata vitunguuDiamond alivogawa mitaji umepata?
Makole - Dodoma
Mwigobhero
Dada Vinci bwana...Karibu misemere Burundi
Umepotea saana Mzee wa kiko!Dada Vinci bwana...
Nimekukumbuka sana dada yangu.
Karibu Mtwara unitembelee braza wako
Hebu andika vizuri bwana...Umepotea saana Mzee wa kiko!
Mtwara sian ndugu asew nadhani itakuua nafasi nzuri ya kufika huko
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Ni eneo ndani ya mkoa wa Mara.Huo ni mkoa pia?
Duu hiki kitekno hovyo kabisa!Hebu andika vizuri bwana...
Hahahahahah wewe mwenyewe umemvuruga, utamwitaje Dada?Hebu andika vizuri bwana...
Dada yangu huyo bwana...Hahahahahah wewe mwenyewe umemvuruga, utamwitaje Dada?
Mkuu haki ya nani siamini!Dada yangu huyo bwana...
Au huamini nikuwekee picha yake..?
Unataka picha ?Mkuu haki ya nani siamini!
Sasa mkuu hata ukituma picha nitaiaminije kama ni yeye? Da'vinci huyu huyu wa stories kule jamii intelligence au unamzungumzia sa'vince mwngne?Unataka picha ?
Unataka picha ya Dada Vinci au hutaki ?Sasa mkuu hata ukituma picha nitaiaminije kama ni yeye? Da'vinci huyu huyu wa stories kule jamii intelligence au unamzungumzia sa'vince mwngne?
Mimi nipo karibu na Nanyamba, naomba nikutafute kama hautojali.Namnyamba