Upo mkoa gani?

Upo mkoa gani?

kitiji

Member
Joined
Jun 28, 2018
Posts
68
Reaction score
55
Habari wadau,
JF member ebu sema ni mkoa gani unapatikana kwa sasa labda upo hapo kikazi au labda ndio umezaliwa hapo na kukulia hapo au labda upo hapo kwa kusafisha macho kwa muda tu!

Mimi kwasasa nipo dar hapa nimekuja kumsalimu bro wangu, nakata matonge ya bure mwezi wa nne huu sasa! nikaribisheni Dar jamani,
 
Back
Top Bottom