Upo online lakini unatafuta uzi wa kuchangia haupati?

Nikiona hakuna cha kuchangia nasoma hadithi hua naenda kuchungulia kama zimepostiwa nikiona hakuna bas nafanya mambo mengine
mambo gani hayo mengine?

hivi ulinambia unatafuta mchumba eeh ?
 
Naombeni likes za kutosha wale mnaonipenda maana siku nikiandika uzi ukakosa comment huwa najisikia kuumwa haya gonga like niendelee kushusha madini hata kama ni upupu comment hata tusi mm nakula comment zenu
unaongea na simu au na watu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…