Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wooozer wooozerrWozeeeer
pouwaniaje
Niwe msamaria mwemaaKwa nini umeamua hivyo
Poa usijali ngoja nitaangalia Tarehe yako.Nianzishie uzi wa happybithday angalia tarehe yangu ili hiyo siku uenjoy
Duh nimezaliwa siku mbili baada ya wewe kuzaliwa.Nianzishie uzi wa happybithday angalia tarehe yangu ili hiyo siku uenjoy
ngoja nkuchokoze mpk u log offIkitokea hivyo huwa natafuta uchokozi na mtu akini-quote tu kazi anayo nitapeleka nae hadi nimalize siku yangu.
Naombeni likes za kutosha wale mnaonipenda maana siku nikiandika uzi ukakosa comment huwa najisikia kuumwa haya gonga like niendelee kushusha madini hata kama ni upupu comment hata tusi mm nakula comment zenu
Hahahaha ndo maana akili yako unaijua mwenyeweDuh nimezaliwa siku mbili baada ya wewe kuzaliwa.
Englandwooozer wooozerr
Tanga, dar, moshi, arusha, zanzibaruneshasafiri wapi na wapi Tanzania