Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hili sijui linanikuta mwenyewe. Naingia JF nami niperuziperuzi yanayojiri sipati kauzi ka kujifichia.
nimeamua kuanzisha nami niwakusanye ila msinipite.
Nimeanza mapemaaanaona kuna herufi hadi zinaenda kukojoa kwanza
Jamani, acha hizozamani ulikuwa unaitwa nani?
mhhhhivyo hivyo
sinywagi mivitu mikali namna hiyoNimeanza mapemaaaView attachment 807552
Id yako ya zamani ni ipi tafadhali?Kuko kimyaa sasa sijui ndio shetan kapita
Mpaka mama Dylan hakuna cha kulikon wara nini mambo kama unavyu yaonakuna hadi kina hamissa siku hizi.
kulikoni
Hapana, sijawahi kwaruzana na mtu, mie mpole sana, sinaga manenonauliza tu... inawezekana tulikwaruzana uniombe msamaha leo
Rudi haraka unaenda wapi[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Karibu magai mankataNapita tu
Shikamooooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Harafu kajiunga jumatatu. Lakini chaka zote anazijua.kuna hadi kina hamissa siku hizi.
kulikoni
Nakimbia maswali....Rudi haraka unaenda wapi