Upo online lakini unatafuta uzi wa kuchangia haupati?

Upo online lakini unatafuta uzi wa kuchangia haupati?

Hili sijui linanikuta mwenyewe. Naingia JF nami niperuziperuzi yanayojiri sipati kauzi ka kujifichia.

nimeamua kuanzisha nami niwakusanye ila msinipite.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
naona kuna herufi hadi zinaenda kukojoa kwanza
Nimeanza mapemaaa
20180530_014633.jpg
 
Back
Top Bottom