Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikiona hakuna cha kuchangia nasoma hadithi hua naenda kuchungulia kama zimepostiwa nikiona hakuna bas nafanya mambo menginehuwa unamalizaje tatizo?
"Mbere "tafadhali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimewahi mberee
KabisaaaaaHutokea wakat mwengine
Upo mamaKabisaaaaa
unaongea na simu au na watu?Naombeni likes za kutosha wale mnaonipenda maana siku nikiandika uzi ukakosa comment huwa najisikia kuumwa haya gonga like niendelee kushusha madini hata kama ni upupu comment hata tusi mm nakula comment zenu
Hapana wewe huwezi ligi.anzisha kwangu basi
Nipo dada nachek game nashushia na vituzUpo mama